Treni ya umeme naona imeanza kazi

Treni ya umeme naona imeanza kazi

Tuli expect kama hivi kilichotukuta sasa
c7c4db3d197ffa244ab6b21cbb952f5c.jpg
 
Sasa mbona hiyo sio ya umeme?


Hapo inatembea kwenye sgr?

Isije kuwa ujinga wa kuto jua reli ya sgr ni ipi na reli ya zamani ni ipi
 
Leo TRC wametoa taarifa kuwa mabehewa "Mapya" 22 yaliyoshuka yaliyoshushwa bandarini wiki iliyopita na ya MGR_TZ na siyo SGR_TZ. Inashangaza sana kuona uongozi wa TRC ukishindwa kabisa kutoa ufafanuzi unaoeleweka.

Treni hapo juu inaonekana kuvuta mabehewa yale ya "Deluxe'' Train. Rangi zinafanana ila muundo ni tofauti. .... Kama nakosea nisahihishwe!.
1670791728487.png
 

Attachments

  • Screenshot 2022-12-11 at 22-57-44 Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi on Twitter.png
    Screenshot 2022-12-11 at 22-57-44 Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi on Twitter.png
    28.1 KB · Views: 8
Kaka kimsboy ni vema zaidi ukajikita kujua idadi ya Waislamu na idadi ya wanaosilimu.

Haya mambo ya CCM yatakutoa kwenye reli kaka.
 
Shabiby na Abood waongeze mabasi tu yawe mengi hizo treni watakua wanabeba wajumbe wao kwenda kwenye mikutano yao dodoma
 
Waliyoyaleta wanajua kama ni ya umeme au siyo.Mi naona tungeanza kwanza na umeme wa uhakika badae mabehewa yafuate.
 
Kwa umeme huu mmm watu watalala njiani itakuwa mwendo wakusafiri na vyakula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Isije siku moja yakutwe yamepitiliza Tanganyika kama meli vile[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umeme WA kuwashia taa Tu ni changamoto......SASA huo WA treni itakuwaje...........Sisi tuendelee Tu kupanda gari Moshi .....lakini treni za umeme tuwaachie Tu wenye nazo..........maana MEMKWA hawawezi kutupereka nchi ya ahadi
 
Back
Top Bottom