sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Hata baada ya kufufua meli na vivuko nauli zimekuwa mara 2 ya basi lkn hizo meli na vivuko vinajaa kuliko kawaida, mwanzoni tulidhani meli zitakosa wateja lkn kumbe mweeee.Nauli hata kama ni mara 3 ya basi siwezi kupanda basiTatizo bei za nauli walizopropose TRC ni mara mbili ya mabasi...Latra wawaokoe maana zikipita hizo bei hiyo Reli itakufa kabla haijaanza labda waforce kuwaondoa mabasi kama mwendo kasi.