Treni ya umeme naona imeanza kazi

CC Pascal Mayalla
 
Wamekanyagana mpaka wameamua kukaa kimya.
 
Sahivi viongozi ndo wataanza kuona kwamba wananchi washawazoea na wanawaona magumashi tu kwenye kila kitu, And trust me watabadilika tu, hamna kitu kinauma kama ugundue watu washakujua michezo yako ila wanakutazama tu ufanye unavyojisikia ila still wakawa wanakuponda ki-design fulani.... Utandawazi umekuja kuwa njia ya kuumbua haya yote imagine watu wana-share upuuzi wako hadi majirani na wasio majirani wanaona😁😁😁
 
Walamba asali wakijua sehemu lilipotelekezwa hili wanaweza kwenda kuliokota walikarabati ili mradi lina sura iliyochongoka mbele
 
Kama tumeamua kujenga reli mpya tena ya kisasa, Kama tumeamua hata kukopa kwa lengo hilo na ujenzi wenye gharama kiasi hicho na baadae turudishe mkopo kwa kodi zetu, Kwa nini tunasita kununua mabehewa na injini zenye kasi? .... Kwa ukubwa wa Tanzania tulipaswa kuwa na treni inayosafiri kati ya Dar es salaam na Kigoma/Mwanza kwa masaa manne tu, Hivi tunakwama wapi??.
Hawa wenzetu wanawezaje kujipanga na kupata mafanikio... Sisi tuna mikosi gani?? 😳

 
Na yana mwendo si wa kawaida, ni vicheko tu kwa furaha waliyonayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…