Treni ya Umeme yatumia dakika 114 Dar hadi Morogoro, Wananchi 600 wasafiri

Noted and agreed!
 
noted
 
Njia ya Treni na bus ni tofauti. Kwa Barabara toka Dar hadi Morogoro (Msamvu) ni Km 200(194). Kwa njia ya Treni Dar hadi Morogoro ni Km 300. Treni hukwepa sana miinuko ndio maana njia yake ni ni fupi.
Mbona km umepiga hovyo hesabu?
Njia ya treni 300km na bas 200km ipi fupi!?
 
Pongezi kwa mama tu.
kwenda zako mama ana vision gani? hii ni vision za magufuli na aliyekua waziri wake wa fedha ndio huyo sasa makamu wa rais . Mtu mwenye akili kuruhusu watendaji wa umma wale kwa refu wa kamba zao nini cha umma anaweza kufanikisha zaidi ya kupeleka mablioni ya umma mikoani yakaliwe na watendaji fisadi.
 
Asante Mwenyezi Mungu Kwa Kutuletea kiumbe JPM Tanzania na kumpa maono yale uliyompa na yeye akakutii na kutekeleza japo sio yote.

RIP JPM.

Hongera Watanzania woote Kwa kulipa Kodi.
Huyu marehemu japo alikua na madhaifu yake ila alikua mtu mwenye maono sana.
Hili taifa lingezidi kupiga hatua kama angekua bado yuhai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…