Treni ya Umeme yatumia dakika 114 Dar hadi Morogoro, Wananchi 600 wasafiri

Treni ya Umeme yatumia dakika 114 Dar hadi Morogoro, Wananchi 600 wasafiri

Mradi ni mzuri ila wananchi tumepigwa. Huo ni mwendo wa kinyonga, kwani zile treni za China hawazioni? Dude linaenda kilomita 301 kwa saa.
 
Kwa nauli ya Tsh 13,000/= kwa kichwa, watu 600 inamaanisha wamepata Tsh Mil 7.8 kwa kwenda tu.
Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

Kwa kusikiliza hii kauli, walitumia umeme wa Tsh Laki 3.5 kwenda na kurudi Dar to Moro. Tuweke factors zote, tu-assume watumie wa Laki 4 kwenda tu, inamaana Mil 7.4 faida.

Toa gharama zote za service, sijui itazidi Tsh ngapi ila najua kwakua chuma mpya haina matumizi makubwa kwenye service, na toa posho ya wafanyakazi.

Inamaana chuma inaingiza zaidi ya Mil 5 kwa safari.

Tusubiri waseme wanaendesha kwa hasara.
Weka na gharama za manunuzi mpaka ilipofikia kuanza safari.

Haupigi hesabu ya mradi kwa gharama za kuuendesha safari moja tu.

Weka na hesabu ya Watanzania wajinga walichoharibu na kuvunja katika hiyo safari.
 
Back
Top Bottom