Treni yaleta ‘kilio’ usafiri wa mabasi Dar - Moshi

Usafri wa train ulikuwa umegubikwa na urasim, wamiliki wa magari kama si wote walikuwa wana ihujumi rel direct or indirect

Hii ilipelekea kuwa dhoful hali, ukiangalia kwa umakin utagundua wahujum hawa walitumia pesa kwa kuwa mfumo ulikuwa collupt no 1 who care, mfum ulikuwa umechomwa sindano ya nusu kaputi yaan upo kama haupo

KubAdilishwa kwa mifumo kila mtu anaogopa sa iv jipu lake lisiive mapema, hujiuliz walishindwa nn viongoz waliopita kutengeneza tu reli? Wakati tayar miundo mbinu ilikuwepo?

Hapo ndpo utajua pesa ilivyo na nguvu, pamoja na kwamba usafr wa mabasi hautakufa ila utabaki si wa usumbufu kama ilivyo kuwa awali na itarahisisha hudum na utaratib wa mabasi namna ya kuwahudumia abiria..


Kunamdau amesem wamiliki wajiandae ni kwel wajiandae ya moshi ni endictor tu kuwa wasipo kuwa makini watacollups kabisa...

Wakati mwingine serikal inapofAnya mazr tuipe pongezi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatakiwa vyote vibaransi ili kuregurate ajira za wananchi katika sekta binafsi
 
Wamiliki wa mabasi ni mabeberu?

Hao ni mabepari.

Katika maendeleo kuna hatua hizi:

Ujima ukikua unageuka kuwa Utumwa Utumwa ukikua unazaliwa ubepari, then ubepari unakuwa ubeberu, then unakuwa ukoloni, halafu ukoloni mamboleao.

Wamiliki wa mabasi ni mapepari ambao wakiungana wanakuwa na nguvu na kuwa mabeberu
 
Yani ile saa kumi tukapanda nikasema nitembee tembee hee nafika mbele naona bar ndani ya treni yesu na maria si nikaa tarimo alikuwepo, masawe alikuwepo mpaka nani yule wa mbezi ya kimara chuwa naye alikuwepo basi tukaanza kulewa tulilewa tulilewa kuja kustuka hivi saa mbili tupo moshi

Yani treni kiboko
 
Binafsi nashangaa kusikia hizi habari.
Ukienda kukata tiketi ya basi two days before unakosa nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mmeshikwa pabaya, Kwanza mlisema hapandi mtu, watu wa Moshi wanauwezo na wana magari yao, baadae mkasema usafiri wa kishamba Nani asafiri usiku kucha, sasa hivi wenye magari wanalalamika abiria sio kama miaka iliyopita wewe unasema train haitoshi, sio kweli Wana mabehewa ya kutosha abiria wakiongezeka na wao wataongeza mabehewa, nitakubaliana na wewe ukisema kwamba hawa abiria ni wa.msimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: rr4
Yaani treni inaenda Moshi mara 3 kwa week, trip moja inabeba watu 150 kwa hiyo hadi mwezi uishe itakuwa imebebeba abiria kama 2000 tu ndiyo imeua biashara ya mabasi msimu wa Christmas?

Get outta here.
 
Hesabu zako aziko sawa hebu piga upya
Abiria 450×trip 3 = 1350 abiria kwa wiki

Abiria 1350 × wiki 4 = 5400 abiria kwa mwezi.

Idadi hiyo 5400 ni sawa na mabasi mangapi?
Linganisha hapo alafu uje na hitimisho
 
Hesabu zako aziko sawa hebu piga upya
Abiria 450×trip 3 = 1350 abiria kwa wiki

Abiria 1350 × wiki 4 = 5400 abiria kwa mwezi.

Idadi hiyo 5400 ni sawa na mabasi mangapi?
Linganisha hapo alafu uje na hitimisho
hapana mkuu,linachukua abiria 150 kwa trip moja, trips ni 3 kwa week
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…