Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapi zenu mpumbavu mkubwa weweTeen za kisasa hamzijui trein ya kisasa ni kama hii![]()
kufa na wivu braza ila sikulaumu wewe mtz...nchi ya wavivu na washambaHazina mvuto kabisa!
"Enyewe bratha" kiingereza haumo kiswahili ndo basi tena unafikiria education system ya Tanzania hujioni uliko.enyewe bratha ungejua bullet trains ni nini, hungalijiaibisha apa....kuna tofauti kati ya bullet proof na bullet trains...😀😀😀😀sikulaumu lakini nalaumu education system yenu ya kishamba
hiyo natambua yote ila project ndio lazma tuivumbue kwanza ivumbike...including stations, trains, rail track, bridges na kadhalika.....alafu subiri tu project ya electric trains inaanza JuneMtoa mada umetoa pictures nzuri ila umesahau kusema kitu muhimu! Speed ya hizo passenger train! Nime google ni 120/km per hour ni moja ya point muhimu unapozungumzia sector ya usafiri its not about stations its about speed!
mpumbavu mkubwa wewe...unajua bullet trains nini???? wewe ulisema bullet proof nikashangaa upumbavu wako umefikia wapi...tumia google kama unajua that is na uone upumbavu wako....ama una kasoro upstairs???"Enyewe bratha" kiingereza haumo kiswahili ndo basi tena unafikiria education system ya Tanzania hujioni uliko.
Sasa ndo imekuwa kutukanana sio, haya bwana hatukatai nyie mko vizurienyewe bratha ungejua bullet trains ni nini, hungalijiaibisha apa....kuna tofauti kati ya bullet proof na bullet trains...😀😀😀😀sikulaumu lakini nalaumu education system yenu ya kishamba
Punguza lugha Kali ndugu yangumpumbavu mkubwa wewe...unajua bullet trains nini???? wewe ulisema bullet proof nikashangaa upumbavu wako umefikia wapi...tumia google kama unajua that is na uone upumbavu wako....ama una kasoro upstairs???
hakuna matusi...ukweli usemwe...watz washamba wa dunia na wapumbavuSasa ndo imekuwa kutukanana sio, haya bwana hatukatai nyie mko vizuri
Afu mnatuharibia kiswahili ninyi Nguchiro wa Kenyakile macho yako inaona
sisi hatuna haja na lugha yenu sanifu bwana...fikiria ...kiswahili yako sanifu kakufanya billionaire? 😀😀😀 sisi tuliacha kuzungumza kiswahili sanifu kitambo sana tuna lugha yaitwa sheng' alafu twazungumza sana kiingereza...wewe wajua kiingereza? soma hapaAfu mnatuharibia kiswahili ninyi Nguchiro wa Kenya
safi sana hapo umetuambia ukweli![]()
si hizi mnazozitumia humo kwenu😀😀😀😀😀😀😀
![]()
![]()
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda,.HONGERA KENYA HATA SIE HUKU TUNA BOMBARDIERHivyo vyuma chakavu vimepigwa rangi ya mafuta then mseme ni za kisasa? au ni za kubebea mbolea?
Haya wewe hata hizo zisizo za umeme ziko wapi??? Acheni wivu .. Mpongeze mwenzio anapo fanikiwaKumbe sio za umeme! Ya kazi gani sasa!