SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Ukiteka na kuua unalipwa cheo.Hivi CCM ilikosa kabisa wagombea hadi kumteua Ighondu ?
Kumbuka Ighondu na Msangi wote walipandishwa vyeo...
Yule aliyeiba kura NEC alipewa uDG.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiteka na kuua unalipwa cheo.Hivi CCM ilikosa kabisa wagombea hadi kumteua Ighondu ?
Hiyo siyo habari tena...swali langu ni vipi elimu ya Lema na Sugu...
Ukiteka na kuua unalipwa cheo.
Kumbuka Ighondu na Msangi wote walipandishwa vyeo...
Yule aliyeiba kura NEC alipewa uDG.
Hilo la Zero brain umedhihirisha uanaChadema wako...maana ukitaka kujua huyu ni mtu wa upande wewe check lugha yake...Chadema wengi au wote hawajui lugha ya mjadala...wengi utawasikia wewe ni zero braini..wewe hujitambui...wewe hujasoma...wewe ni masikini...wewe ni mjinga na kadhalika...yaani wao ni uanaharakatiwa lugha za udhalilishaji, matusi kejeli na kadhalika..Wewe kweli ni Zero-brain!
Unazungumzia elimu ya Sugu na Lema nami nimekujibu tena kwa Ushahidi kuhusu elimu ya Wabunge wa CCM....!!!! Usichoelewa nn?
Ighondu ndo alimuua Dk Mvungi, eti wamewatoa kafara wale vijana
Hilo la Zero brain umedhihirisha uanaChadema wako...maana ukitaka kujua huyu ni mtu wa upande wewe check lugha yake...Chadema wengi au wote hawajui lugha ya mjadala...wengi utawasikia wewe ni zero braini..wewe hujitambui...wewe hujasoma...wewe ni masikini...wewe ni mjinga na kadhalika...yaani wao ni uanaharakatiwa lugha za udhalilishaji, matusi kejeli na kadhalika..
huyo lissu huo uwaziri wa kumpa nyarandu anautoa wapiNapendekeza Lazarus Nyalandu apewe Uwaziri wa Foreign Affairs na Mhe. Rais Tundu Antipas Mughwayi Lissu baada ya tarehe 28/10/2020
huyo lissu huo uwaziri wa kumpa nyarandu anautoa wapi
ok bahati mabaya sana hatakuwa rais kwa hiyo hatampa huo uwaziriUnaelewa ulichosoma na kukijibu??
Soma Tena: Mhe. Tundu Antipas Mughwayi Lissu atampa Uwaziri Nyalandu akiwa kama Rais wa JMT.
ok bahati mabaya sana hatakuwa rais kwa hiyo hatampa huo uwaziri
Tembo oyeeNapendekeza Lazarus Nyalandu apewe Uwaziri wa Foreign Affairs na Mhe. Rais Tundu Antipas Mughwayi Lissu baada ya tarehe 28/10/2020
Twiga oyeeeLazaro Nyalandu ni kama ameiua CCM Mkoa mzima wa Singida maana hata wakati Lissu akiwa nje ya nchi kwa matibabu, Mh Nyalandu aliendelea kuifyeka CCM bila huruma.
Mpinzani wake wa CCM anaitwa Ramadhan Ighondu, mtu anayetajwa bila kukanusha kuhusika na kumteka na kumtesa kinyama kiongozi wa chama cha Madaktari Tanzania, Dr. Ulimboka kwa lengo la kumuua.
Hata wana Singida wangekuwa wamelogwa na kufanywa misukule wasingeweza kuchagua mbunge wa aina ya Ighondu.
Pichani ni Mh Nyalandu akiwa kwenye kampeni jimboni kwake.
Kwa hiyo what is the problem na maneno haya? Yametolewa katika context ipi?!Niambie maneno haya na Nani aliyeyatamka:
"......Wale wanaoishi Kama Malaika ntawashusha chini waishi kama Mashetani....!!
Tawala zilizopita mtu mwene pesa alikuwa na uwezo wa kufanya lolote.....!Kwenye Utawala wangu mtu mwenye Fedha anaweza kufanywa lolote!
Watumishi wa Umma sitawaongezea MISHAHARA mpaka nimelize Kujenga SGR, Stieglers Gorge, Flyover etc....!
Wewe Mkurugenzi ulipokuwa Marekani ndiyo ulikuwa unasomea upumbavu huu....!!!
Mimi Sitaki kushauriwa na mtu ukinishauri ndiyo unapoteza kabisa..."
John Pombe MAGUFULI...Mwenyekiti CCM(T)
Ni muuaji wa wasio na hatia.Ighondu ana shida gani mkuu ?
Nasubiri kusikia atakachosema jukwaaniNi muuaji wa wasio na hatia.
Sasa yule mkabaji na kibaka ighodu,sijui anafanya nini huko jimboni heri afanye biashara ya kuuza punda kwa wachinaLazaro Nyalandu ni kama ameiua CCM Mkoa mzima wa Singida maana hata wakati Lissu akiwa nje ya nchi kwa matibabu, Mh Nyalandu aliendelea kuifyeka CCM bila huruma.
Mpinzani wake wa CCM anaitwa Ramadhan Ighondu, mtu anayetajwa bila kukanusha kuhusika na kumteka na kumtesa kinyama kiongozi wa chama cha Madaktari Tanzania, Dr. Ulimboka kwa lengo la kumuua.
Hata wana Singida wangekuwa wamelogwa na kufanywa misukule wasingeweza kuchagua mbunge wa aina ya Ighondu.
Pichani ni Mh Nyalandu akiwa kwenye kampeni jimboni kwake.
Umekata tamaaTunawakumbusha tuu ccm wasipotoka 2020 , 2025 tunarudi tena huu ni mwendelezo.
Mwenye picha ya huyu Ighondu aitupie jamani.jina ltuone kama sura yake inafanana na tuhuma alizopewa.Maana alivuma sana aiseeHivi CCM ilikosa kabisa wagombea hadi kumteua Ighondu ?