Tribute to William Ole Nasha: Alikuwa Miongoni Mwa Viongozi Wachache Bonafide Genuine Wazalendo wa Kweli waTaifa Hili. RIP Comred William Ole Nasha!

Kitendo cha kutoka ccm tu inatosha kum-disqualify! Familia ya panya tupu!
 
Hata siku akienda Mtemi Chenge utasema hivi hivi mpk tunajiuliza hao wezi walio CCM ni akina nani
P
 
Nimewahi kukaa naye hata kupata naye kinywaji kabla ya kuwa mbunge lakini hata alipokuwa mbunge na kupata uwaziri hakubadili stahili yake ya maisha ukiacha tu zile protokal za serikali. Huyu alikuwa hazina ya taifa na wala hakujishugulisha na makundi ya ovyo ya ccm.
 
Kuchafua uchaguzi si kujiunga na kundi la ovyo kuliko yote?
 
Kwa hali hii basi nchi Yetu ina kaz kubwa kuja kuwa na viongozi watakaotatua shida za Wananchi kwa kuwaletea maendeleo.Sasa kiongozi anaulizwa kuhusu sheria ya gesi na mafuta yeye anajibu kuhusu wanyama.
Sorry marehemu hasemwi vibaya lakin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wamasai orijino siyo wezi na hawapendi kulimbikiza mali, ukiacha mifugo...
 
Tuache unafiki kwa kutoa sifa za uongo pale mtu anapokufa tukafikiri hiyo itamsaidia aliyekufa kwa muumba wake Mungu anajua matendo yetu yote tuliyotenda hapa duniani yawe ya heri au shari hata tukiigiza vipi hauwezi kumshawishi au kumlaghai chochote Mungu.
 
Ungemjibu swali lake je aligomea kura za magumashi??
Mkuu igogondwa, hakuna kitu kama hicho cha kura za magumashi, uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, japo kasoro ndogo ndogo hazikosekani, ni jambo la kawaida kwa chaguzi zote, lakini matokeo ni matokeo halali.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…