wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Maana yake ni wanaendeshwa kwny V8.Mkisema uzalendo huwa mnamaanisha nini?..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake ni wanaendeshwa kwny V8.Mkisema uzalendo huwa mnamaanisha nini?..
Wanabodi,
Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ. Mimi kwa upande wangu nime specialize kwenye talk shows na kufanya mahojiano.
Kufuatia long experience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye kufanya mahojiano, nimekuja kupata uwezo wa kutofautisha fake from genuine, hivyo kwenye kuuliza maswali, kuna viongozi wanatoa majibu fake ili just to pay lip services tuu za kutokelezea, they don't real mean what they say or preach, ndio maana Tanzania tumeletewa chanjo 1,450, 000 corona, viongozi wetu wanatuhamasisha tuchanje na kutuhubiria kuchanja, lakini mpaka leo, tunakwenda miezi mitatu, zile chanjo 450,000 hazijaisha, achilia hizo chanjo zaidi ya milioni ambazo hazijachanjwa, na mind well, chanjo zote duniani zina expire date!.
Huyu Mhe. William Ole Nasha, ni miongoni mwa viongozi wachache, bonafide genuine ambao ni wazalendo wa kweli wa inchi hii.
Uwezo wa kuwatofautisha viongozi walipa lip services na bonafide genuine ni ukiwasikiliza kwa makini baada ya mahojiano, utabaini tuu.
Rip Comred William Ole Nasha.
Paskali
Hata siku akienda Mtemi Chenge utasema hivi hivi mpk tunajiuliza hao wezi walio CCM ni akina nani
Kuchafua uchaguzi si kujiunga na kundi la ovyo kuliko yote?Nimewahi kukaa naye hata kupata naye kinywaji kabla ya kuwa mbunge lakini hata alipokuwa mbunge na kupata uwaziri hakubadili stahili yake ya maisha ukiacha tu zile protokal za serikali. Huyu alikuwa hazina ya taifa na wala hakujishugulisha na makundi ya ovyo ya ccm.
Ila wamasai orijino siyo wezi na hawapendi kulimbikiza mali, ukiacha mifugo...Paskali,
Ili uipende nchi yako kwa ninyi mnachokisadifu kama 'Uzalendo' lazima kwanza uipende familia yako. Uzalendo unaanzia kwenye 'boma' lako mwenyewe.
Ole Nasha hakuwa anaipenda familia yake haswa mamaye, Nasha. Yupo kwenye hali mbaya. Kwenye umaskini wa kutukuka.
Huo unaouita uzalendo ulikuwa kwa ajili ni kwa manufaa ya tumbo na anasa zake tu.
Mkuu Retired , acha wivu, acha chuki!, yaani unachuki ya kupitiliza hadi marehemu unamuone wivu!.
RIP Comred William Ole Nasha.
P