Tribute to William Ole Nasha: Alikuwa Miongoni Mwa Viongozi Wachache Bonafide Genuine Wazalendo wa Kweli waTaifa Hili. RIP Comred William Ole Nasha!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,
Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ. Mimi kwa upande wangu nime specialize kwenye talk shows na kufanya mahojiano.

Kufuatia long experience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye kufanya mahojiano, nimekuja kupata uwezo wa kutofautisha fake from genuine, hivyo kwenye kuuliza maswali, kuna viongozi wanatoa majibu fake ili just to pay lip services tuu za kutokelezea, they don't real mean what they say or preach, ndio maana Tanzania tumeletewa chanjo 1,450, 000 corona, viongozi wetu wanatuhamasisha tuchanje na kutuhubiria kuchanja, lakini mpaka leo, tunakwenda miezi mitatu, zile chanjo 450,000 hazijaisha, achilia hizo chanjo zaidi ya milioni ambazo hazijachanjwa, na mind well, chanjo zote duniani zina expire date!.

Huyu Mhe. William Ole Nasha, ni miongoni mwa viongozi wachache, bonafide genuine ambao ni wazalendo wa kweli wa inchi hii.

Uwezo wa kuwatofautisha viongozi walipa lip services na bonafide genuine ni ukiwasikiliza kwa makini baada ya mahojiano, utabaini tuu.

Rip Comred William Ole Nasha.

Paskali
 
Ila maandiko ya P hua yamekaa mkao sana.
Shukurani mkuu kwa ujuzi na unguli wako kwenye uwanja wa siasa.
 
Acha hizo, CCM hakuna mtu wa mwdilifu ,ukiwa mwadilifu unakataa kura kupewa kuwa UCHAGUZI hauna haki.
Achana na tribute fake..... Acha Kanisa, unakula bya kura za wizi halafu unasema uzalendo, rubbish
Mkuu Retired , acha wivu, acha chuki!, yaani unachuki ya kupitiliza hadi marehemu unamuone wivu!.
RIP Comred William Ole Nasha.
P
 
Mkuu Kasomi , kama jina lako lilivyo, ni wachache sana humu jf, wanaweza kusoma bandiko na kuibaini the central message
Thanks kwa kunielewa, kiukweli ni watu wachache humu wananielewa.

We jamaa akili yako ndio ime-retire

USSR
 
Mkuu Retired , acha wivu, acha chuki!, yaani unachuki ya kupitiliza hadi marehemu unamuone wivu!.
RIP Comred William Ole Nasha.
P
Sina wivu maana hata kumjua simjui. The truth is that , the whole 2015/2020 election was flouted. Mwadilifu anakataa kuwa siwezi kutumikia uchafu, serikali iliyoingia madrakani kwa hila, mwadilifu anakataa! Sasa anasaidiana na serikali kandamizi, isiyo kuwa na ridhaa ya wananchi halafu unasema ni mwadilifu, mzalendo? Mwizi anakuwa mzalendo?
 
Paskali,

Ili uipende nchi yako kwa ninyi mnachokisadifu kama 'Uzalendo' lazima kwanza uipende familia yako. Uzalendo unaanzia kwenye 'boma' lako mwenyewe.

Ole Nasha hakuwa anaipenda familia yake haswa mamaye, Nasha. Yupo kwenye hali mbaya. Kwenye umaskini wa kutukuka.

Huo unaouita uzalendo ulikuwa kwa ajili ni kwa manufaa ya tumbo na anasa zake tu.
 
Huo ndio uzalendo wenyewe wa kweli kwa taifa lako, unakuwa na life ya selfless na kutanguliza maslahi ya taifa kwanza. Hata Bwana wetu Yesu Kristo, alipokuwa kwenye ile harusi ya Cana, baada ya kuisha divai, mama yake akawaambia watumishi wamfuate na kumweleza, atakacho waambia fanyeni, walipomwambia Yesu, Yesu alimfuata mama yake na kumkaripia kwa hasira "Mama nina nini nawe?. Ndipo akafanya muujiza wa kwanza kuyabadili maji kuwa divai.

Hata Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, nimekulia Msasani jirani na kwa Mwalimu, hakuijali sana familia yake. Hivyo hilo la Ole Nasha na familia yake ni jambo la kawaida kwa Wazalendo wote wa ukweli.
P
 
Mkuu Kasomi , kama jina lako lilivyo, ni wachache sana humu jf, wanaweza kusoma bandiko na kuibaini the central message
Thanks kwa kunielewa, kiukweli ni watu wachache humu wananielewa.
P
Katika law, and you are a lawyer, words should be given their natural/literal interpretation or ordinary meaning of the word unless there are strong reason to interpret otherwise.
Some people Wànasema unasema kwa njia ya uani kulinda uhai wako, who knows?
 
Back
Top Bottom