Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ. Mimi kwa upande wangu nime specialize kwenye talk shows na kufanya mahojiano.
Kufuatia long experience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye kufanya mahojiano, nimekuja kupata uwezo wa kutofautisha fake from genuine, hivyo kwenye kuuliza maswali, kuna viongozi wanatoa majibu fake ili just to pay lip services tuu za kutokelezea, they don't real mean what they say or preach, ndio maana Tanzania tumeletewa chanjo 1,450, 000 corona, viongozi wetu wanatuhamasisha tuchanje na kutuhubiria kuchanja, lakini mpaka leo, tunakwenda miezi mitatu, zile chanjo 450,000 hazijaisha, achilia hizo chanjo zaidi ya milioni ambazo hazijachanjwa, na mind well, chanjo zote duniani zina expire date!.
Huyu Mhe. William Ole Nasha, ni miongoni mwa viongozi wachache, bonafide genuine ambao ni wazalendo wa kweli wa inchi hii.
Uwezo wa kuwatofautisha viongozi walipa lip services na bonafide genuine ni ukiwasikiliza kwa makini baada ya mahojiano, utabaini tuu.
Rip Comred William Ole Nasha.
Paskali