Arudi kutoka wapi? Nipo hapahapa na si muda mrefu naanza kuziweka.
Acha ujuaji. Hapa tumefuata story, uongo ukweli wewe unahaingaika nini?! Unataka kutaga?Acha kupenda porojo
Jane Msowoya nakuelewa sana.Kaka usipovutiwa na Jambo, just ignore tu kimya kimya
Kuna wengine tunafatilia
Kama nisingekuwa nasoma comments hata hii yakwako nisingeiona.Toka Jana unasema sasa hivi unaanza bishana na watu[emoji1][emoji1]
We andika tu then watu wachangie watakacho sasa hapo hapo we muandishi, msoma comments na kubishana. Kila mwandishi angefanya hivyo kungekua na Media?
😂 nmeshasoma mengi sana kama n viapo basi nimeapa sana.tahadhari humu ukiona maneno huyajui usiyasome yaruke unaweza jikuta kumbe umekula kiapo ukajikuta gambosh.🤣
Maswali mengi kama polithiiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...78
Alikua amefariki muda mfupi uliopita, alimaliza kunipa maelezo yale yunge mdogo.
Umezitoa wapi stori hizi? Nilimwuliza.
Nimesikia kisimani asubuhi, tena watu wanasema mama yake ni mchawi wa kupindukia na huenda kweli amemtoa mtoto wake na mjukuu wake kwa wachawi wenzie, alijibu yunge.
Hapo sasa niliunganisha matukio, jinsi yunge alivyokua ananiambia jana kwamba yule ameshakuwa kitoweo na kama wangenikamata na mimi pia nyama zingeongezeka na leo kungekuwa na msiba wangu pia.
Kwahio amesema analiwa nyama lakini atarudi, kivipi sasa, Niliuliza tena.
Huenda akawa amejipanga yule kijana na msiba wake ukawa kiini macho tu, alijibu yunge mdogo.
Msiba kuwa kiini macho kivipi wakati amesema analiwa nyama? Niliuliza tena.
Wenae unakichwa kigumu kuelewa, nakwambia inasemekana yule hajafa kachukiliwa na wachawi tu ila anajiamini atarudi kwa ajili ya mama yake.
Sasa kama hajafa na kila mwanakijiji anajua hivyo sasa wamekwenda msibani kufanya nini? Niliuliza tena swali lililoonekana kumkera binti huyu.
Kichwa ngumu.
Mkuu kwenye wengi kuna mengi. Nakumbuka nipo mdogo mzee akinambia matusi/zogo la mpita njia lisiku shughulishe ukiwa ndani mwako. Hapa kuna watu wana matatizo yao binafsi ya maisha usiweke akili nani kasema hivi na nani kasema vile. Wewe weka stori yako wapo watakao jifunza na wapo watakao idharau. Ndio maana shule kumewekwa wanao faulu na wanao feli.Ukitaka kujua humu kuna watu hawana akili hata ya kuvukia barabara siku moja njoo na story yako unayotamani kushare na jamii
Utasikia Muongo, umecopy sio wewe, chai hii dah
Mtu anakwambia nimelala na njaa wewe unamwambia "Muongo" ulikuwepo?
Kuna siku nilitamani kushare na jamii na kuwaelezea simulizi flani jinsi nilivyofanikiwa kumkamata mwizi wa mitandaoni na zile njia nilizotumia na wao wezi njia wanazotumia
Yanii mimi mwenyewe ndio nimemkamata huyo Mwizi ,
Na Rb ninayo mfukoni anatokea mtu humu hata hana anachokijua anakwambia tu chai hio Muongo, umecopy wewe
Mara nyingi tunakosa kupata taarifa mbali mabli kwa sababu ya watu wachache wenye Tabia za utoto utoto na za kijinga zinawakatisha tamaa wasimuliaji
Binafsi nikifunga hadith au simulizi humu nikiona alijanipendeza naondoka bila ya kuaga sio kucomment vimaneno vya kuwakera wengine wanaofatilia
Baelezee bana, Kama chizi baki huko huko na uchizi wako. Tiache sie tufaidi.Mkuu kwenye wengi kuna mengi. Nakumbuka nipo mdogo mzee akinambia matusi/zogo la mpita njia lisiku shughulishe ukiwa ndani mwako. Hapa kuna watu wana matatizo yao binafsi ya maisha usiweke akili nani kasema hivi na nani kasema vile. Wewe weka stori yako wapo watakao jifunza na wapo watakao idharau. Ndio maana shule kumewekwa wanao faulu na wanao feli.