dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Sahih kbsa wegero.... aache akawasimulie dad zake huko .Ni ujinga huu anaoufanya kwa makusudi kbsaKama huna mda wa kuandika story acha kawandikie ndugu zako huko ndani siyo kuja hapa una andika story kama sms kwa demu wako tulikuomba uandike kama unaona huwezi acha mpuuzi ww
Sasa hao vijana ni kwamba wao hawachezewi au?Nakwambia kunavijana kule wamezaliwa na kukulia pale lakini mambo yanayofanyika hawajui kabisa na hata ukijaribu kuwaambia wanakataa eti kijiji cheo hakina mambo ya ulozi.
Ww endelea na uongo basi mbona maneno mengiUnaona upumbav ulokuwa nao? Yaani unatumia sababu ya kutoandika kwangu kwa muda unaopenda wewe, eti niandike vimistari vichache ili nisionekane muongo? Nimesema huwezi nipangia muda wa kuandika eti nikufurahishe wewe, yaani hujaitwa unaitika, hujatongozwa lakini tayari umevua nguo na kubong'oa kibumbu juu, ebu kitulize basi.
Kwa comments zako tu hakuna daktari wa binadamu kiazi hivi na akose adabu na staha kama wewe.. We Utakua unakaa kwa shemeji yako unastress za kulala sebuleniSawa nitafanya hvyo worry not ila mm sijasomea uandishi Ni Dr wa binadamu SAS wapi na wapi na uandishi mkuu
Thanks
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na wanajiita madaktariHumu ndani kuna watu wanamatatizo ya afya ya akili.
Mkuu achana nao,hawa ni wale jobless hawanaga kazi zaidi ya kushinda social media wanadhani kila mtu yuko loose kama wao. Hakuna mtu na kazi zake akae analalamika eti story inachelewaUnaona upumbav ulokuwa nao? Yaani unatumia sababu ya kutoandika kwangu kwa muda unaopenda wewe, eti niandike vimistari vichache ili nisionekane muongo? Nimesema huwezi nipangia muda wa kuandika eti nikufurahishe wewe, yaani hujaitwa unaitika, hujatongozwa lakini tayari umevua nguo na kubong'oa kibumbu juu, ebu kitulize basi.
Tiwareport wapuuzi wote wafungiweDuuh! Ban nyingi sana naziona kupitia huu uzi ngoja mods wachungulie huku
Wewe ndo unajiita daktari? Kweli wagonjwa wa akili ni wengiSahih kbsa wegero.... aache akawasimulie dad zake huko .Ni ujinga huu anaoufanya kwa makusudi kbsa
Anashindwaje kuandika vimistari vichache Kisha asepe anashindwa VIP??? je tukisema kuwa Hana Content ndio maana anajishauri atume uongo gani na muda gani, liongo Sanaa hili lisukumaaa
Itabidi tufanye hivyo ili watu wajiheshimu waache lugha chafu zisizo na maanaTiwareport wapuuzi wote wafungiwe
Nenda kwenye comment yake alotukana then click kitufe cha report ili mods watusaidie kudili na hawa wapumbavItabidi tufanye hivyo ili watu wajiheshimu waache lugha chafu zisizo na maana
Good sense bro!mkuu Pettymagambo,
once you fail to handle pressure and resistance from readers, you wont succeed in this story..
please show your level of intelligence and leave fools dance their own paces.
I remember last rime I told you to To visit here once you are done with your activities and not otherwise.
Post a story and leave aside.
Remember these guys here who are chopping you with annoying words are Jobless, and other are mental ill.
Dont throw stones to every fool.
Pettymagambo I trust you brother. Learn how to handle stressful conditions
Mwandika story anasubiri abembelezwe kama mwanamke mjamzito.
Nawewe usituletee habari zako za unavyobembelezwa unapokuaga mjamzito...Mwandika story anasubiri abembelezwe kama mwanamke mjamzito.