dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Sahih kbsa wegero.... aache akawasimulie dad zake huko .Ni ujinga huu anaoufanya kwa makusudi kbsaKama huna mda wa kuandika story acha kawandikie ndugu zako huko ndani siyo kuja hapa una andika story kama sms kwa demu wako tulikuomba uandike kama unaona huwezi acha mpuuzi ww
Anashindwaje kuandika vimistari vichache Kisha asepe anashindwa VIP??? je tukisema kuwa Hana Content ndio maana anajishauri atume uongo gani na muda gani, liongo Sanaa hili lisukumaaa