Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanda ya ziwa kuna mambo ya kutisha, unaambiwa kabisa huyo amabye umezoeana nae ni mchawawi.Mwanangu ulikua unakula mkuu wa wachawi halafu yeye anamsema yunge mdogo ni mchawi
Hahaha haha aliona nguvu kaziKanda ya ziwa kuna mambo ya kutisha, unaambiwa kabisa huyo amabye umezoeana nae ni mchawawi.
Kuna wakati nilikuwa mgodini huko, sasa nilikuwa napiga mzigo/kazi kama sina akili jamaa wakawa wanai admire ukitegemea zile kazi ni ngumu sana. Siku moja yule jamaa niliyeambiwa ni mchawi nikasikia anamwambia mtu huyo bwana ni kama Msukule.... Kesho yake nilitotoka sikuaga, niliona hapa naenda kuwa msukule kweli.
how? wakawarubuni vipi?Kanda ya ziwa hawamjui mungu wapagani ni wengi. Ajabu madhehebu mapya kama yehova badala ya kwenda huko wanangangania humuhumu mitaani kuwarubuni wakristo wa katoliki na Anglikana. Nendeni huko Kanda ya ziwa mkahubiri injili
Karibu sumbawanga kijana damu yako mizimu imeipendaNaomba mungu nisije pangiwa kazi mikoa yenye uchawi kiasi hicho mbona ni maajabu haya , ila endelea basi na story za kunyanduana mbona umeacha[emoji41][emoji41]
Senta linatumika zaidi kanda ya ziwaNeno senta naliona sana kwa story za kanda ya kaskazini zinazoandikwa huku
Nimeelewa.Senta linatumika zaidi kanda ya ziwa
Waah mambo ya kulala uku paka wanakanyaga paa nani ataka.Karibu sumbawanga kijana damu yako mizimu imeipenda
Kesho nitazimwaga ka njugu ndugu zangu, tuvumiliane.Pettymagambo kinehe ngosha?
Nhibanzonkiza anaijua geta vijijini kweli?pettymagambo tumeshatrace id yako wewe ni saidoo ntibazonkiza fanya chap ubadili jezi hizo ushushe vya kulalia ndo uende kambini na wenzio.
hapo si kakutania tu😂😂😂Nhibanzonkiza anaijua geta vijijini kweli?