True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Mwanangu ulikua unakula mkuu wa wachawi halafu yeye anamsema yunge mdogo ni mchawi
Kanda ya ziwa kuna mambo ya kutisha, unaambiwa kabisa huyo amabye umezoeana nae ni mchawawi.

Kuna wakati nilikuwa mgodini huko, sasa nilikuwa napiga mzigo/kazi kama sina akili jamaa wakawa wanai admire ukitegemea zile kazi ni ngumu sana. Siku moja yule jamaa niliyeambiwa ni mchawi nikasikia anamwambia mtu huyo bwana ni kama Msukule.... Kesho yake nilitotoka sikuaga, niliona hapa naenda kuwa msukule kweli.
 
Hahaha haha aliona nguvu kazi
 
Kanda ya ziwa hawamjui mungu wapagani ni wengi. Ajabu madhehebu mapya kama yehova badala ya kwenda huko wanangangania humuhumu mitaani kuwarubuni wakristo wa katoliki na Anglikana. Nendeni huko Kanda ya ziwa mkahubiri injili
 
how? wakawarubuni vipi?
kurubuni ni kudanganya, ?
so watapelekewa suluhisho au kitanzi kipya?

hao Yehova ndio wadanganyaji, ?
kwanini mlio safi katoliki na msipeleke msaada huko utume wengine wakawarubuni??
 
Naomba mungu nisije pangiwa kazi mikoa yenye uchawi kiasi hicho mbona ni maajabu haya , ila endelea basi na story za kunyanduana mbona umeacha[emoji41][emoji41]
Karibu sumbawanga kijana damu yako mizimu imeipenda
 
pettymagambo tumeshatrace id yako wewe ni saidoo ntibazonkiza fanya chap ubadili jezi hizo ushushe vya kulalia ndo uende kambini na wenzio.
 
Back
Top Bottom