True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

...80
Moto niliouingia? Unamaanisha nini.
Tuyaache hayo utajionea mwenyewe siku ikifika, alinikatisha.
Kiukweli mimi yule simpendi kamwe, na sijui ilikuwaje tu mpaka nikajikuta nipo nae, nilisema.
Basi sawa, asante kwa msaada wako, ngoja niwahi nikaanue maharage yasinyeshewe mvua, alisema baada ya kuwa tumemaliza kumenya karanga na sasa wingu zito lilitanda kuashiria huenda muda si mrefu ingenyesha mvua.
Nilimwomba akimaliza kuanua maharage arudi pale kwani kuna jambo la muhimu nilitaka kumwambia.
Twende unisaidie kuanua kisha turudi wote, aliniomba nami kwakuwa nilikuwa na langu moyoni nilimkubalia na kumtaka anipe ile ndoo iliyokuwa na karanga, alinipatia kisha tukaanza kuondoka, sikufunga mlango wa nyumba niliyokuwa nalala kwani nilijua hatutokawia kurudi.
Tulipiga hatua kuelekea kwao yunge mdogo, lakini mara tulipofika tu kwenye mpaka wa kiwanja cha babu na chakina yunge mdogo nilisikia mlango wa nyumba niliyokuwa nalala umejibamiza kwa nguvu paa!
Niligeuka haraka lakini kwa mshangao mlango ulikuwa wazi.!
 
We jamaaa ni msahaulifu. Nzehe kasema usitoke wewe unatoka,[emoji28][emoji28][emoji28]
 
...81
Lakini nilipotupa macho juu ya paa nilimwona yule paka mkubwa niliyemwona siku iliyokua imepita wakati nilipotaka kwenda kwao yunge mkubwa, alikuwa amenikodolea macho yake makubwa na mabaya kwa hasira sana, hapo nikakumbuka sitakiwi kutoka pale nyumbani, nilimwomba yunge atangulie mimi ngeenda baadae kwani kuna mambo sijayaweka vizuri pale nyumbani, ilivyooneka hakuwa ameisikia ile sauti ya mlango kujibamiza wala kumwona paka aliyekuwa juu ya paa.
Alikubali akabeba karanga na kuondoka, nami nikayatupa tena macho pale juu paani alipokuwa yule paka mbaya, sikumwona, hakuwepo kabisa.
Nilitambua yale ni mambo ya kiusalama ya babu.
Niliingia ndani mwangu na kujilaza tena nikiwa nimefungulia redio, muda kidogo mvua ilianza kunyesha taratibu na kuongeza kadri muda ulivyokuwa ukisonga, ndipo nikasikia dirisha kugongwa kwa nje, nilielekea sebleni na kufungu mlango, alikuwa yunge mdogo.
Umenidanganya kuja kunisaidia kuanua maharage hujatokea mpaka yamelowana, alilaumu yunge mdogo.
Nisamehe bwana, nilipitiwa tu.!
 
...82
Nilijitetea hatimae akanielewa.
Sasa niambie ulitaka kunambiaje? Aliuliza yunge mdogo.
Jamani hata hujakaa? Karibu ukae kwanza na ujifute maji mwilini naona mvua imekulowesha kidogo, nilimwambia na kumshika mkono kumwongoza kuelekea chumbani, nilichukua moja ya shuka safi na kumpatia ajifute, alifanya hivyo kisha nikatoa moja sweta zuri lilokuwa ndani ya begi langu kwani nilikuja na masweta matatu, nilimpatia akalivaa ambapo alionekana kulifurahia, sasa nambie umeniitia nini? Aliuvunja ukimya.
Ukweli yunge wewe ni msichana mzuri sana, mimi nakupenda kwa kweli na sijui yule mchawi alinipa nini mpaka nikajikuta nalala nae wakati simpendi hata kidogo na moyo wangu upo kwako, nililopoka.
Mchawi? Nani kakwambia yule mchawi? Alishtuka.
Kwa jinsi nilivyo jikuta nalala nae sielewi kabisa, yaani simpendi kabisa yule binti.
Nilibwabwaja mpaka nikaona binti hana ugumu wowote na sasa bwana manyanda wangu alikuwa amejiandaa kwa vita, hakuwa na pingamizi, nilifanya taratibu zote mpaka ulipofika wakati wa kuchomeka.!
 
...45
Tunamechi weekend hii hapa hapa nyumbani, hivyo nimepita kuchangisha mchele, maharagwe ama fedha kwa ajili ya wachezaji wetu, alijibu yule jamaa ambae baadae nilimtambua kama captain wa timu ya kijiji!
Fedha kiasi gani? Nilimwuliza.
Kiasi chochote utachojisikia kutoa, alijibu.
Nilinyanyuka na kuingia getoni kwangu, nilichukua shilingi elfu kumi na kurudi pale mwembeni ambapo niliwakuta wanaendelea kuyashambulia yale mahindi, nilimkabidhi na kumtaka akate elfu 5, jamaa alifurahi mno, yaani wengi walikua wanatoa 500 na wengine 1000, hivyo jamaa alishukuru sana.
Vipi kaka naweza pia nikajiunga na timu yenu? Niliuliza.
karibu sana, unacheza namba ngapi?
Nakanyaga wings zote kaka, nilijinadi.
Basi karibu kwenye mazoezi leo jioni, tuanaanza saa 10 kamili.
Nilimjibu nitahudhuria bila kuchelewa.
Aliaga na kuondoka nikabaki na yunge ambae alianza kusunda sania lale ili aondoke.
Kwahio hela yote hiyo unatoa mchango wa mpira? Alinitupia kijembe,
Mimi: napenda sana mpira, yaani tena nimefurahi kupata nafasi hii!

Oky
 
...83
Nilistaajabu nilipomgusisha tu kwenye kitumbua cha yunge mdogo, manyanda wangu alisinyaa ghafla na kulegea kabisa.
Mhh! Hali gani tena hii! Nilishangaa, nikastaajabu wakati huu yunge mdogo akingoja kusulubiwa tu kwani yeye pia hakuwa ameguswa na mwanume kwa maelezo yake, hilo hata mimi nililisadiki baada yakuwa nimefanya utangulizi kabla ya kumchomekea singe yunge mdogo.
Nilitoka kifuani pake nikiwaza nimekutwa na nini nisiweze kumchomeka manyanda kitumbuani mwa yunge mdogo? Wakati huu alijifunika shuka kusitiri maungo yake, lakini haikuisha hata dakika moja baada ya kuwa nimemwachia yunge mdogo, mtalimbo ulidinda tena kwa hasira, yaani mpaka niliisikia misuli kuuma, nilimshika na kumlaza tena yunge mdogo ili nimchomekee singe, hakuwa mbishi alila na kungoja suluba, nilimkamata manyanda na kumpeleka kwa haraka kunako kibuyu cha yunge mdogo, ile nagusa mlango tu, jamaa chali cha mende, mashine iligoma haswa, nilitoka kifuani mwake huku aibu na fedheha vikinikumba kwa pamoja.
Vp tena mwenzetu nini tatzo?
 
Umetegewa tego sasa vita mpya inaanza
 
Ukitaka kujua humu kuna watu hawana akili hata ya kuvukia barabara siku moja njoo na story yako unayotamani kushare na jamii

Utasikia Muongo, umecopy sio wewe, chai hii dah

Mtu anakwambia nimelala na njaa wewe unamwambia "Muongo" ulikuwepo?

Kuna siku nilitamani kushare na jamii na kuwaelezea simulizi flani jinsi nilivyofanikiwa kumkamata mwizi wa mitandaoni na zile njia nilizotumia na wao wezi njia wanazotumia

Yanii mimi mwenyewe ndio nimemkamata huyo Mwizi ,
Na Rb ninayo mfukoni anatokea mtu humu hata hana anachokijua anakwambia tu chai hio Muongo, umecopy wewe

Mara nyingi tunakosa kupata taarifa mbali mabli kwa sababu ya watu wachache wenye Tabia za utoto utoto na za kijinga zinawakatisha tamaa wasimuliaji

Binafsi nikifunga hadith au simulizi humu nikiona alijanipendeza naondoka bila ya kuaga sio kucomment vimaneno vya kuwakera wengine wanaofatilia
Ni kweli mkuu, yaani humu tuna makundi ya watu ambao hakuna kitu washaona katika maisha yao kiasi chakupelekea kutambua na kuamini kuwa nguvu za giza zipo na zinatesa jamii kubwa.wengine hapa tunazo shuhuda kubwa na si za kusimuliwa nizakujionea kwa macho na ukianza kuzisimlia hapa walokulia magetini nakuja kuishi kitaa (uswahilini), kamwe hawawezi amini watasema ni story za kutunga ila ukweli haya mambo yapo na yanatendeka katika jamii zetu.
 
...83
Nilistaajabu nilipomgusisha tu kwenye kitumbua cha yunge mdogo, manyanda wangu alisinyaa ghafla na kulegea kabisa.
Mhh! Hali gani tena hii! Nilishangaa, nikastaajabu wakati huu yunge mdogo akingoja kusulubiwa tu kwani yeye pia hakuwa ameguswa na mwanume kwa maelezo yake, hilo hata mimi nililisadiki baada yakuwa nimefanya utangulizi kabla ya kumchomekea singe yunge mdogo.
Nilitoka kifuani pake nikiwaza nimekutwa na nini nisiweze kumchomeka manyanda kitumbuani mwa yunge mdogo? Wakati huu alijifunika shuka kusitiri maungo yake, lakini haikuisha hata dakika moja baada ya kuwa nimemwachia yunge mdogo, mtalimbo ulidinda tena kwa hasira, yaani mpaka niliisikia misuli kuuma, nilimshika na kumlaza tena yunge mdogo ili nimchomekee singe, hakuwa mbishi alila na kungoja suluba, nilimkamata manyanda na kumpeleka kwa haraka kunako kibuyu cha yunge mdogo, ile nagusa mlango tu, jamaa chali cha mende, mashine iligoma haswa, nilitoka kifuani mwake huku aibu na fedheha vikinikumba kwa pamoja.
Vp tena mwenzetu nini tatzo?
Sasa hapa sijui ni yunge mkubwa ndio anamlaza manyanda au ni babu[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom