batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,346
Manyanda atamaliza kijiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unacho shangaa nini mkuu hapa mjini tu watoto wakike wanazagaa mtaani mpk saa tano usiku tena wa shule ya msingimhh mbona kamba hizi inamaana hao madem uyo tatu wakina yunge walikua na Uhuru wakutoka usiku nyumbani kwao istoshe watoto wakike [emoji848]
Wengine wanaruka mageti, huyu anauliza nn sasa.Unacho shangaa nini mkuu hapa mjini tu watoto wakike wanazagaa mtaani mpk saa tano usiku tena wa shule ya msingi
Kijiji kizima ni wanga,Tatu naye Mwanga😂Huyu jamaa ange myandua Tatu hii stori tungeipata zamani kutoka kwa Tatu🤣🤣. Lakini ana nyandua Wanga kuonekana hawataki sasa stori zao utazipata wapi😂
My last boyMzigo utaleta saa ngapi
Sasa si ungeonesha mfano kwa kukaa kimya wewe? Mbona unaandika? Hili jukwaa huru kila mtu ana uhuru wa kuchangia.Watu wa hivii MNABOA[emoji119][emoji119][emoji119] kwan hamuwezi kukaa kimya.. njoo ww na story yako ya ukweli
Kijijin ni jambo la kawaidamhh mbona kamba hizi inamaana hao madem uyo tatu wakina yunge walikua na Uhuru wakutoka usiku nyumbani kwao istoshe watoto wakike [emoji848]
Ukiuliza hivi vilaza watakasirika huwa wanapenda kudanganywa kama watoto. Yaani mademu wanajitokea tu kwao usiku. Sijui vijiji vya wapi. Mwingine hajaitwa anaenda moja kwa moja naye akachapwe nao. Jamaa hayupo serious kabisa na utunzi wake. Anajiwekea tu maneno yanayomjia kichwani bila shida.mhh mbona kamba hizi inamaana hao madem uyo tatu wakina yunge walikua na Uhuru wakutoka usiku nyumbani kwao istoshe watoto wakike [emoji848]
Maisha ya kijijin ndo Raha hivi kumbe jamani enhee endeleaBibi alileta chakula pale pale, akaleta kimkeka akakaa, tulianza kushambulia wali uliokua kwenye sinia kubwa, huku bibi akiwa kaniwekea minyama lundo kwenye kibakuli kidogo cha udongo, yaani paja, filigisi na kidali humohumo, dah! Nilikula huku nikijiwazia eee kwa hali hii ntarudi nyumbani kibonge kweli!
Wakati tunamalizia kula bibi akachombeza, unamuwaza mchumba?
Mchumba tena? Hapana bibi, nawaza ya fisi kuiba mbuzi mapema tu hii, nilimjibu,
Wewe unashangaa hivyo tu? Wanatokeaga hata mchana wanabeba wanacho kitaka, hivyo kuwa na amani ni mambo ya kawaida tu huku na utayazoea, alisema bibi,
Hodi hapa, ilisikika sauti ya kiume, karibuu, aliitikia bibi,
Babu yako huyo amerudi! Nilinyanyuka na kumpokea bab baiskeli aliyokuwa anasukuma, huku kwenye karia amefunga karai na mbuzi dume kwa ndani yake!
Oooh! Umefika mzee mwenzangu? Karibu sana babu, alinichangamkia mzee bhuhabi,
Asante babu nshakaribia,
Basi nilifungua karai na kumtoa yule mbuzi dume aliyehasiwa (maksai) mzito na amenona sana.
Hahahah kwahiyo wafuatiliaji wa story hii ni misukule..?Misukule ya msukuma naona imepakiwa haijaletewa story
Je yunge mdogo au mkubwa, Yupi sasa?
We jamaa mbona umeacha simulizi?endelea ulipoishia kabla sijakugeuza PAKA MKUBWAAA😁😁Watu mje muone huu msuba eti unataka utumiwe picha ya mwanaume! Hili jamaa jinga kwelikweli.