True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

mhh mbona kamba hizi inamaana hao madem uyo tatu wakina yunge walikua na Uhuru wakutoka usiku nyumbani kwao istoshe watoto wakike [emoji848]
Kijijin ni jambo la kawaida

Nimekulia kijijin nimeanza kulala na demu mpaka asubuh nikiwa na miaka 12

Disco vumbi unakuta kuna vitoto vya kike vya mpaka darasa la nne na vitakaa hapo disco na kucheza hata mpaka saa 8 za usiku

Kijijin nilichokuwepo wanautamaduni,kuwa wazazi hawawez kulala nyumba moja na binti ambae ameshavunja ungo,kwahyo kila kaya kulikuwa na nyumba tatu(ya wazazi,watoto wa kiume na ya wasichana)
Kwahyo ikitokea familia ina vijana wa kiume wachache hapo ni rahis kuchukua kidem cha hapo na kukimega usiku kucha,tena unaweza kukimegea hata hapo hapo kwao
 
mhh mbona kamba hizi inamaana hao madem uyo tatu wakina yunge walikua na Uhuru wakutoka usiku nyumbani kwao istoshe watoto wakike [emoji848]
Ukiuliza hivi vilaza watakasirika huwa wanapenda kudanganywa kama watoto. Yaani mademu wanajitokea tu kwao usiku. Sijui vijiji vya wapi. Mwingine hajaitwa anaenda moja kwa moja naye akachapwe nao. Jamaa hayupo serious kabisa na utunzi wake. Anajiwekea tu maneno yanayomjia kichwani bila shida.
 
Bibi alileta chakula pale pale, akaleta kimkeka akakaa, tulianza kushambulia wali uliokua kwenye sinia kubwa, huku bibi akiwa kaniwekea minyama lundo kwenye kibakuli kidogo cha udongo, yaani paja, filigisi na kidali humohumo, dah! Nilikula huku nikijiwazia eee kwa hali hii ntarudi nyumbani kibonge kweli!
Wakati tunamalizia kula bibi akachombeza, unamuwaza mchumba?
Mchumba tena? Hapana bibi, nawaza ya fisi kuiba mbuzi mapema tu hii, nilimjibu,
Wewe unashangaa hivyo tu? Wanatokeaga hata mchana wanabeba wanacho kitaka, hivyo kuwa na amani ni mambo ya kawaida tu huku na utayazoea, alisema bibi,
Hodi hapa, ilisikika sauti ya kiume, karibuu, aliitikia bibi,
Babu yako huyo amerudi! Nilinyanyuka na kumpokea bab baiskeli aliyokuwa anasukuma, huku kwenye karia amefunga karai na mbuzi dume kwa ndani yake!
Oooh! Umefika mzee mwenzangu? Karibu sana babu, alinichangamkia mzee bhuhabi,
Asante babu nshakaribia,
Basi nilifungua karai na kumtoa yule mbuzi dume aliyehasiwa (maksai) mzito na amenona sana.
Maisha ya kijijin ndo Raha hivi kumbe jamani enhee endelea
 
141
Kulikucha asubuhi hii kukiwa na mawingu mazito angani yaliyoashiria huenda ingenyesha mvua kubwa muda si mrefu, hivyo yunge aliniaga huku akisema tungoje hali ya hewa tuone kama itakaa vizuri tutakwenda mbugani.

Aliondoka na kuniacha nikiwa naomba yale mawingu yayeyuke ili twende mbugani, lakini wapi! Mvua ilianza kutimba mda kidogo mbele, kuanzania saa 12 mpaka ikaja punguza makali saa 4 asbuhi, napo haikukata kabisa bali iliendelea kunyesha ndogo ndogo, hivyo nikajua leo imeshindikana.

Muda kidogo bibi aligonga dirisha na kunitaka nitoke kwa ajili ya kulijaza tumbo, nilitoka nje huku vimanyunyu vikiendelea,
Tulikula kisha nikarudi ndani mwangu na kujilaza.

Muda mfupi babu aliingia mle ndani mwangu na tukaanza piga stori, baadae alileta bao akawa ananifundisha namna ya kucheza, sikukawia, tayari nikawa nimeelewa vizuri tu.

Naona sasa mpango wenu wakwenda majarubani umekwamishwa na mvua, alisema babu.

Babu alinataka nijiandae twende porini ili akanipe zindiko la uhakika kwani baraa lilininyemelea.
 
Back
Top Bottom