sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Unavijitabia flani vya kimama sana kama sio kikeHyu Ni boya tu Hana story anafikiria Cha kuandika na tuvipisi vyake Kama mb.....o ake
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavijitabia flani vya kimama sana kama sio kikeHyu Ni boya tu Hana story anafikiria Cha kuandika na tuvipisi vyake Kama mb.....o ake
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Punguza Kamba basi Mwamba168
Niliona mafisi makubwa mawili yenye macho yang'aayo yakiwa yanamvuta babu kuelekea vichakani huku kila moja limeshika kwa meno mkono mmoja wa babu ambae macho yake bado yalikuwa yanang'aa kama zamani.
Nilichanganyikiwa kumwona babu yangu kipenzi akiwa anavutwa chini tena na mafisi, hapa niliijiwa na picha mbaya sana kichwani, yaani babu yangu kipenzi aliwe na fisi? Nililia kwa sauti lakini hakuna aliyetokea.
Nilitimua mbio na mpaka nikamfikia babu na kumshiki miguu kwa ujasiri, nilianza kushindana nayale mafisi kumvuta babu ambae alilia kwa maumivu ya kuvutwa huku na huku, nilimwachia babu kwa ghafla na yale mafisi yalipigiza matako chini kwani hayakutegemea kama ningefanya kitendo kile ghafla vile.
Ondoka hapa hatuna shida na wewe, ilisikika sauti ya mwanamke kutoka kinyani mwa mmoja wa yale mafisi, nilishangaa sana fisi kuongea.
Naomba mniachie babu yangu msimle nyama, nilibembeleza.
Mpumbavu sana wewe, ondoka haraka kabla hatujakutafuna, aliongea kwa sauti yule fisi mwingne.
Siondoki, nililia mno.
Sasa wewe phala usiyejua hata kuandika unapiga kelele za nini?Hyu Ni boya tu Hana story anafikiria Cha kuandika na tuvipisi vyake Kama mb.....o ake
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Upinde huyoUnavijitabia flani vya kimama sana kama sio kike
Doh, Bibi yako keshafanya yake170
Ndio babu nilifumbua macho uliponipiga na kitu mkononi, kwani nilimsikia yunge analia kwa maumivu akisema eti bhuhabhi mmeamua kumwua mtoto wenu? Ndo nikafumbua nimwone huyo mtoto, nilijitetea.
Kweli ulisikia sauti ya yunge? Aliuliza babu ambae nilimhakikishia ilikuwa sauti ya yunge mkubwa.
Basi tupumzike ila leo nauna mwisho wangu, aliongea babu kwa masikitiko na kukata tamaa.
Hapana babu, hakuna wa kukugusa upo na mimi, nilimtia moyo babu huku nikiwa sijui nini kilinipa jeuri ya kusema vile.
Nini kinakufanya ujiamini hivyo mjukuu wangu? Aliniuliza babu huku akijitaidi kutabasamu ilihali akiwa na maumivu.
Swali lile lilinifikrisha kidogo, nikawa najiuliza mimi mwenyewe, eti kweli, ni nini kinachonipa jeuri ya kutunisha kifua na kumwaminisha babu kwamba alikuwa katika mikono salama kwa uwepo wangu mimi ikizingatiwa nilikuwa nalia kama mtoto mdogo muda mfupi uliopita.
Huku babu akinitazama na kungoja nitampa jibu gani,
Ghafla nilikumbuka kitu, niliangaza chumbani nisione nichokitafta, vimeenda wapi?
Unyama sana mdogo wetuWapendwa Tukutane kesho kwa mwendelezo, na sasa gari limewaka tena lipo kwenye mteremko mkali, so wakulizuia hayupo ameshakufa, usiku mwema kwa wote.
Na kwako pia mwambaWapendwa Tukutane kesho kwa mwendelezo, na sasa gari limewaka tena lipo kwenye mteremko mkali, so wakulizuia hayupo ameshakufa, usiku mwema kwa wote.
Uskwame bablaiWapendwa Tukutane kesho kwa mwendelezo, na sasa gari limewaka tena lipo kwenye mteremko mkali, so wakulizuia hayupo ameshakufa, usiku mwema kwa wote.
Shukrani nakuaminia.Na kwako pia mwamba
Asanteni nawaaminia sana.Unyama sana mdogo wetu
Haina kufeli mkuu.Uskwame bablai
Tabia unazofanyiwa usifikirie Kila Mtu anafanyiwaNahisi utakuwa upinde wewe sio bure maana ndo mnatabia ya kujishobokesha
Sawa baba anguNini tena mamaaa?
Mbona mwarushiana maneno just ignore him
Ilitakiwa jf zipime uwezo wa akili ya mtu kabla ya kumpa account maana nikuaibishana ukuKuna watu humu wana matatizo ya akili!!