Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
Poa bro nimekuelewaPita hivi sio lazima kufatilia,ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa bro nimekuelewaPita hivi sio lazima kufatilia,ova
Nimepata malalamiko kuwa unachelewa sana kuleta episodes. Usiendelee kuwakwaza wasomaji. Leta episodes nyingi na zenye ujazo. Sipendi tuingie kwenye mgogoro halafu niku remove jukwaani. So zingatia haya ili tusije onana wabaya. Pia wengi wanataka uwatangazie moja ijulikane kuwa HICHO NI KIJIJI CHA WACHAWI. KUWA KILA MTU NI MCHAWI. AMA SIVYO WEKA NA CHARACTERS AMBAO SI WACHAWI.
Natumaini utayafanyia kazi haya. Nasubiri utekelezaji.
Alisema yupo na familia sikukuu hii, mpk iishemtulie ataendelea.Kiukweli inawezekana jamaa hana muendelezo pengine
Sio busara kukaa kimya na unajua unafatiliwa
Sio fair hata kama hatukunulii bundle bado sio sawa
Nzehe hana AGANO na mtu yeyote kwamba asome hadithi yake. Kaiandika kwa hiari yake, na anapost kwa hiari yake.Nimepata malalamiko kuwa unachelewa sana kuleta episodes. Usiendelee kuwakwaza wasomaji. Leta episodes nyingi na zenye ujazo. Sipendi tuingie kwenye mgogoro halafu niku remove jukwaani. So zingatia haya ili tusije onana wabaya. Pia wengi wanataka uwatangazie moja ijulikane kuwa HICHO NI KIJIJI CHA WACHAWI. KUWA KILA MTU NI MCHAWI. AMA SIVYO WEKA NA CHARACTERS AMBAO SI WACHAWI.
Natumaini utayafanyia kazi haya. Nasubiri utekelezaji.
Sawa si unatulisha weweNzehe hana AGANO na mtu yeyote kwamba asome hadithi yake. Kaiandika kwa hiari yake, na anapost kwa hiari yake.
Nzehe ana majukumu na yuko busy, nyie ma jobless ndio mnalialia mtandaoni bila ya aibu.
Tafuteni shughuli za kufanya, mbona mnatoka tu mkiamua?
Nikweli mkuu nilisema kabisa, ila nashangaa watu wanazidi kulalamika, nipo na familia na huenda leo nikaondoka kuelekea eneo langu la kibarua ambako nitapata nafasi ya kuandika kwa uhuru, lakini kwa hapa maskani inakua nimetaitika sana.Alisema yupo na familia sikukuu hii, mpk iishemtulie ataendelea.
Karipio!Jamani, nilitoa taarifa kwamba nisingeweza kuandika stori nikiwa nyumbani na familia kwa mapumziko ya pasaka, lakini nafikiri leo kuanzia saa 3 kabla ya game ya city na munchen nitaweka hivyo hakuna haja ya kutupiana maneno makali, kwani hata ukinitukana hunijui sikujui kwahio hatujuani, matusi sio poa wana.
Sawa lolo.Karipio!
Bwana mdogo weka hii stori kama ulivyoahidi tena ndefu kufidia usumbufu uliowapa wananzengo.
Mimi mtemakuni nimeongea. Usipofanya hivyo tusije tukalaumiana.
Angusha mzigoSawa lolo.
Subiria nitaweka sasa.
Sindano zinawaingia tafuteni shughuli za kufanya hata shemeji zenu wamewachoka sasa wanashindwa tu kuwafukuzaSawa si unatulisha wewe
Game ya Bavarians na Citizens inaanza mda si mrefu!Jamani, nilitoa taarifa kwamba nisingeweza kuandika stori nikiwa nyumbani na familia kwa mapumziko ya pasaka, lakini nafikiri leo kuanzia saa 3 kabla ya game ya city na munchen nitaweka hivyo hakuna haja ya kutupiana maneno makali, kwani hata ukinitukana hunijui sikujui kwahio hatujuani, matusi sio poa wana.
Nakupa masaa 72 uwe umeweka kisa kingine. Familia , familia... Kwani nani hana familia? Acha hizo habari. Wananchi wanataka uwape kisa kingine nakushauri ufanye hivyo NISIJE NIKAFANYA KAMA AMBAVYO NLIWAHI MFANYIA MEMBER MMOJA HUMU NDANI.Jamani, nilitoa taarifa kwamba nisingeweza kuandika stori nikiwa nyumbani na familia kwa mapumziko ya pasaka, lakini nafikiri leo kuanzia saa 3 kabla ya game ya city na munchen nitaweka hivyo hakuna haja ya kutupiana maneno makali, kwani hata ukinitukana hunijui sikujui kwahio hatujuani, matusi sio poa wana.
Katk mtu mjinga Ni hyu msimuliajiNakupa masaa 72 uwe umeweka kisa kingine. Familia , familia... Kwani nani hana familia? Acha hizo habari. Wananchi wanataka uwape kisa kingine nakushauri ufanye hivyo NISIJE NIKAFANYA KAMA AMBAVYO NLIWAHI MFANYIA MEMBER MMOJA HUMU NDANI.
Andika vizuri basi tuweze kusoma kero zako kwa ufasaha nyambaff zako😡😡Katk mtu mjinga Ni hyu msimuliaji
Wa story hi
Sijapata kuona popote Happ msimuliaji Ana keraa Kama hyu msukuma
Siandiki :-\[emoji854][emoji854]Andika vizuri basi tuweze kusoma kero zako kwa ufasaha nyambaff zako[emoji35][emoji35]
Wasukuma wengi ni viaziKatk mtu mjinga Ni hyu msimuliaji
Wa story hi
Sijapata kuona popote Happ msimuliaji Ana keraa Kama hyu msukuma