True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Nimepata malalamiko kuwa unachelewa sana kuleta episodes. Usiendelee kuwakwaza wasomaji. Leta episodes nyingi na zenye ujazo. Sipendi tuingie kwenye mgogoro halafu niku remove jukwaani. So zingatia haya ili tusije onana wabaya. Pia wengi wanataka uwatangazie moja ijulikane kuwa HICHO NI KIJIJI CHA WACHAWI. KUWA KILA MTU NI MCHAWI. AMA SIVYO WEKA NA CHARACTERS AMBAO SI WACHAWI.

Natumaini utayafanyia kazi haya. Nasubiri utekelezaji.

[emoji28]
 
Kiukweli inawezekana jamaa hana muendelezo pengine
Sio busara kukaa kimya na unajua unafatiliwa
Sio fair hata kama hatukunulii bundle bado sio sawa
Alisema yupo na familia sikukuu hii, mpk iishemtulie ataendelea.
 
Nzehe kipindi kagonganisha macho na Bibi yake alipokuwa anaelekea kuchota maji
_20230411_005333.JPG
 
Nimepata malalamiko kuwa unachelewa sana kuleta episodes. Usiendelee kuwakwaza wasomaji. Leta episodes nyingi na zenye ujazo. Sipendi tuingie kwenye mgogoro halafu niku remove jukwaani. So zingatia haya ili tusije onana wabaya. Pia wengi wanataka uwatangazie moja ijulikane kuwa HICHO NI KIJIJI CHA WACHAWI. KUWA KILA MTU NI MCHAWI. AMA SIVYO WEKA NA CHARACTERS AMBAO SI WACHAWI.

Natumaini utayafanyia kazi haya. Nasubiri utekelezaji.
Nzehe hana AGANO na mtu yeyote kwamba asome hadithi yake. Kaiandika kwa hiari yake, na anapost kwa hiari yake.

Nzehe ana majukumu na yuko busy, nyie ma jobless ndio mnalialia mtandaoni bila ya aibu.

Tafuteni shughuli za kufanya, mbona mnatoka tu mkiamua?
 
Sawa si unatulisha wewe
 
Alisema yupo na familia sikukuu hii, mpk iishemtulie ataendelea.
Nikweli mkuu nilisema kabisa, ila nashangaa watu wanazidi kulalamika, nipo na familia na huenda leo nikaondoka kuelekea eneo langu la kibarua ambako nitapata nafasi ya kuandika kwa uhuru, lakini kwa hapa maskani inakua nimetaitika sana.
 
Jamani, nilitoa taarifa kwamba nisingeweza kuandika stori nikiwa nyumbani na familia kwa mapumziko ya pasaka, lakini nafikiri leo kuanzia saa 3 kabla ya game ya city na munchen nitaweka hivyo hakuna haja ya kutupiana maneno makali, kwani hata ukinitukana hunijui sikujui kwahio hatujuani, matusi sio poa wana.
 
Karipio!

Bwana mdogo weka hii stori kama ulivyoahidi tena ndefu kufidia usumbufu uliowapa wananzengo.

Mimi mtemakuni nimeongea. Usipofanya hivyo tusije tukalaumiana.
 
Jamani, nilitoa taarifa kwamba nisingeweza kuandika stori nikiwa nyumbani na familia kwa mapumziko ya pasaka, lakini nafikiri leo kuanzia saa 3 kabla ya game ya city na munchen nitaweka hivyo hakuna haja ya kutupiana maneno makali, kwani hata ukinitukana hunijui sikujui kwahio hatujuani, matusi sio poa wana.
Game ya Bavarians na Citizens inaanza mda si mrefu!

shall we wait a little more for the writter to bring the story?
 
Jamani, nilitoa taarifa kwamba nisingeweza kuandika stori nikiwa nyumbani na familia kwa mapumziko ya pasaka, lakini nafikiri leo kuanzia saa 3 kabla ya game ya city na munchen nitaweka hivyo hakuna haja ya kutupiana maneno makali, kwani hata ukinitukana hunijui sikujui kwahio hatujuani, matusi sio poa wana.
Nakupa masaa 72 uwe umeweka kisa kingine. Familia , familia... Kwani nani hana familia? Acha hizo habari. Wananchi wanataka uwape kisa kingine nakushauri ufanye hivyo NISIJE NIKAFANYA KAMA AMBAVYO NLIWAHI MFANYIA MEMBER MMOJA HUMU NDANI.
 
Katk mtu mjinga Ni hyu msimuliaji
Wa story hi

Sijapata kuona popote Happ msimuliaji Ana keraa Kama hyu msukuma
 
Back
Top Bottom