True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Nakupa masaa 72 uwe umeweka kisa kingine. Familia , familia... Kwani nani hana familia? Acha hizo habari. Wananchi wanataka uwape kisa kingine nakushauri ufanye hivyo NISIJE NIKAFANYA KAMA AMBAVYO NLIWAHI MFANYIA MEMBER MMOJA HUMU NDANI.
[emoji23][emoji23]
 
Acha mkwara wa mchana kweupe wewe, kama nikuwa stori ya kipuuzi naiwe tu, sio kutegana vimitego vya kitoto kama hiki ulichotega hapa.
Twende pole pole mkuu wameanza kukwelewa hawa haters.😅😅😅

I still recommend,
Go slowly with the story while doing your daily activities.
 
Back
Top Bottom