True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

WAJUAJI WAKIJA WATAKUULUZA

Mpaka sasa huyu bwana hajafikisha masaa 24 hapo ugenini kwa Babu yake kifupi alifika saa 12 na mpaka Sasa n saa nane mchana lakini sasa

👉Ameshajua kuku huwa wanakaa WAP mchana?
👉Kaonana na msichana jion nayeye akiwa mgen lakin usiku alimfungulia geto?
👉Saa 11 asubuh unasindika mtu ambae hujui kwao n wap na vp heshima yako kwenye mji husika ipoje?
👉Inakuaje we n mgen tena mjukuu ulipewa jina lababu alafu wote wanakuacha walijua we n mgen bila hata chakula Cha mchana?
👉Hukuwah kulala na msichana Ila mpaka sasa umeshalala nae na bado una shauku ya kupata mwingine.(mkojo wa kwanza kutoka kwa Mara ya kwanza huwa unakuchukua akili kwa aliyekukojolesha)
👉Unapata ujasiri gani kutoa nguo zako na shuka la Bibi yako liende kwenye mji usioufahamu ili Hali ulishataadhirishwa na Mambo ya ushirikina?
👉Muda n mchache Mambo n mengi.

Jamani achen mihemko hapa tupite Kama kuburudika na kuongeza kitu kichwan tusiwe serious Sana.
Isitoshe mwanamke um bikiri kisha uendelee kum pump mpk wazungu watoke! Hmm bikra ya wap hii isokuwa na maumivu yale nnayoyakumbuka hadi leo..!
 
Samahani kwa usumbufu ulojitokeza, nilishindwa kuendeleza stori kutokana na changamoto za kibinadamu, japo nilikuwa natamani nipate muda wa kumaliza stori yangu, ila changamoto zilikuwa nyingi hivyo sikuwa na namna, naweza kuendelea na stori hii mpaka mwisho endapo mtaendeleza sapot zenu katika kisa changu hiki, asanteni sana.
 
Karibu sana leta story
 
Endelea mzee
 
kama unaendelea we endelea hakuna mtu aliekuwa busy kukusubiri wewe na story zako za mchongo
 
Back
Top Bottom