True story!! Kwenye mapenzi tuwe makini kabla ya kuingia kwenye mahusiano

Mtoto wa shangazi hamna shida ndoa inapita vizuri tu labda mambo ya mila zao, vinginevyo hiyo ni nyama tamu kabisa
 
Nina goma langu tayari
Alaf si unajua, sii kila ukiona kichaka unabanwa na haja. Nawaachia wadau msio nao, jimbo ilo
Nipe namba mwanangu, tacro si analo? 😹😹😹
 
Mtoto wa shangazi hamna shida ndoa inapita vizuri tu labda mambo ya mila zao, vinginevyo hiyo ni nyama tamu kabisa
Kwao anasema hairuhusiwi
 
Hakika ukiona Kuna upendo flani hiv bila Pesa, kazi, au hakuna kitu kinachowaunganisha bila sababu jua Damu yenu ianwazungukia kwa upendo... Me napenda nimshauri yule kijana wa kiume alitakiwa aulize baba mkwe wake alikufa ama yupo wapi na kama kafa kafakifo Cha aje kifo Cha kimoshi Moshi au kichaga Chaga kwa baba tu
 
kama hamjanyonya ziwa moja hakuna shida. Hii naongea kisayansi si blah blaahh. Dogo aendelee kuichapa tu hakuna namna.

Undugu wa mbali hauna shida maana kinachohofiwa sana huwa ni magonjwa ya kurithi.

Sasa hao washachanganya damu huyo unakuta mzazi mmoja msukuma mwengine mzazi mnyaki damu za mbali kabisa, hapo hamna shida wacheni vijana wasocialize.
 
Vijana wakipendana sii rahis kuulizana kuh mkwe. Mpaka wakikaribia kuoana
 
Ukiwa km baba wa kijana naona ndoa ikifungwa chap😄

Ila mama mzaz wa binti ameshakataa
 
Binamu nyama ya hamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…