Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

tupatie na hesabu ya wapalestina waliouwawa na yahudi tangu 1948 tulinganishe nani ameua zaidi.
 
Huna akili wewe Yahudi mweusi wa Tegeta kwa ndevu,

Watu wanatekwa na kuuawa umefanya nini? huyo Mumeo Natanyahu ndio anapaswa kuadhibiwa kabla ya mtu yeyote yule,Punguza ujinga na kuandika matapishi hapa.
 
Subiri aingie madarakani ndo utajua anamaanisha nini kusema màtakwa ya dunia nzima.
Iran alipiga Base zake zilizopo Iraq na Trump akiwa madarakani,alifanya nini?
Inaonekana hata akikwambia inama utainama tu kwa unavyo muabudu,

Dunia ilishabadilika tokeni usingizini,mtaendelea kuonewa nyinyi tu,watu hawapo tayari kunyanyaswa,watatumia kila walichonacho to fight back.
 
Ndo huko madrassa mnafundishwa huo ujinga?
 
Israel iko vitani na hamas,sasa wewe jiulize kwa kwa nini raia wanauwawa kwa wingi? Hemu nikuulize una hakika mwezi uliopita hakuna hamas hata mmoja aliyeuwawa miongoni mwa raia wa kipalestina? Je mwezi uliopita umesikia hata alzajeera imetangaza kuwa wameuwawa hamasi hata watano? Sasa tafakari hii ni December utaendelea kusikia wimbo wa genocide halafu korasi itakuwa wanawake na watoto ila hutasikia hamasi kauwawa/wameuwawa miongoni mwa raia. NA NI KOSA KISHERIA( WAR CRIMES) KUTUMIA RAIA KAMA KINGA. sasa hemu toa ushauri nini kifanyike upande wa hamasi na nn kifanyike upande wa Israel ilivita iendelee bila kuathiri raia wa kipalestina( wanawake na watoto)
 
Labda wewe ni choko, watu wanaongelea mambo mengine wewe unawaza kuinamishwa.
Punguani mmoja.
 
Huo ni upuuzi apeleke matisho yake huko.. sasa hapo Gaza kumebakia nini mpaka awatishe? Watu wameshauliwa, nyumba hospitali zote zimevunjwa, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna chakula.. hawa watu ndio eti utawatishia nini sasa?

Kama kuna watu ambao wameshapoteza kila kitu na hawaogopi kufa ni Wapalestina.

Watu wa Gaza sio kama Israel kichapo kidogo tu cha Hizbullah wamesarenda,.. hayo matisho yenu mplekeeni SHETANYAHU yeye ndio anaogopa kufa
 
Mimi ni muislam lakini hua najizuia sana kutazama hii vita kwa mtazamo wa kidini na nadhani hata sio vita vya kidini kwasababu ukiwaangalia Saudia, Egypt na nchi nyingine kubwa za kiislam, mateso ya Wapalestina hua kama hawana time nayo sanaaa!

Pia hua nakosa logical reasoning kwa Hamas kuteka wanawake na watoto, wanaweza vipi kuwa proud mpaka kuonesha video wanavyowachukua mateka wanawake na watoto? Au wanajua wangechukua wanaume tuu dunia isingepigana sana kumshinikiza Netanyahu kutafuta njia za amani za kuwarudisha kwasababu wanaume tunahesabika tuko expendable?

Lakini tukirudi kwa kauli ya Trump najiuliza atafanya kitu gani cha nguvu kuwarudisha mateka zaidi ya ambayo Netanyahu keshafanya.

Tatizo hao mateka kwasasa Hamas wanawafanya kama human shields, any move ya kumpiga aliewashikilia automatically inawaumiza na wao ndo maana Netanyahu alitumia nguvu sana akaua uongozi wote wa Hamas ila mwishowe ikabidi tuu atangaze dau $5m kwa yeyote atakaewezesha kuokolewa mateka hata mmoja.

Labda atie presha kwa Iran ili in return Iran nae awashinikize Hamas kuwaachia mateka lakini pia hii inagoma kwasababu wameuliwa pia karibu uongozi wote wa Hezbollah na hakuna mateka alieachiwa, sidhani kama hii inaweza kuwa solved kwa kutumia nguvu labda waamue hawahitaji tena kuokoa mateka wakiwa hai which again is pointless!!
 
T rump maneno mengi sana kama amewekwa mkoleni vile
 
Kiini macho kivipi hizi ni stori tu mnazodanganyana kwenye misikiti yenu Israel iilikuwepo kabla hata babu yako hajazaliwa na kabla dini yake yako ya uislamu yaijaanzushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…