Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

View attachment 3167723
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"

watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!

Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!

View attachment 3167720
View attachment 3167722

View attachment 3167721
Ooh...man,somebody gonna be hurt!
 
Baada ya Kobaz Derby kule Syria ltafuata Trump vs Kobaz .. jamani wahurumieni Kobaz watafika Akhera wamechoka maana kule kuna kazi ya kubikiri mabikira 72 kila mmoja na kuogelea kwenye mito ya Ma -Dompo.
 
Netanyahu hana kosa lolote ndio maana hata Ufaransa wamefuta maamuzi ya kumkamata.

Netanyahu ana kila haki ya kuilinda nchi yake dhidi ya washenzi walioua watu 1,200 kwa siku moja akiwemo Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel (apumzike kwa amani ), piga hesabu kwa mwaka mzima (siku 365) Israel ingekaa kimya wangeuliwa wangapi
Kama ambavyo put in hana hatia ndio maana Mongolia ikakataa kumkamata israhell ikiwa kama utawala wa kigaidi wangekua wapo zao kule kule kwao ulaya ya mashariki wangetulia sana ila hapo hawatakaa watulie milele nisuala la kukubali huu ukweli au kuukataa
 
Baada ya Kobaz Derby kule Syria ltafuata Trump vs Kobaz .. jamani wahurumieni Kobaz watafika Akhera wamechoka maana kule kuna kazi ya kubikiri mabikira 72 kila mmoja na kuogelea kwenye mito ya Ma -Dompo.
Usisahau pia trumpet atakuja na derby yake na lgbtq sijui mtakimbilia wapi mwaka huu
 
View attachment 3167723
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"

watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!

Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!

View attachment 3167720
View attachment 3167722

View attachment 3167721
Trump anaweza kutaka kuupiga mji wako wote bomu la nyuklia kwa sababu hujaweka picha yake ofisini mwako 😂😂😂
 
Watanzania bado tuna maumivu mabichi ya vijana wetu wawili kuuawa na Magaidi wa Hamas alafu wewe unakuja kuandika nini hiki ?

Hao wapalestina lengo lao ni moja tu, From the riber to the sea, Kuifuta Israel na kuua watu wote ndani yake (wakiwemo waarabu wenzao), Huu kama sio ushenzi ni nini ?
Ukishirikiana na magaidi wa israhell unatakiwa ufe tu hata kama utakua ni wewe unatakiwa ufyekwe yes israhell inatakiwa ifutwe ili amani ya Asia magharibi pamoja na dunia ipatikanwe
 
Huna akili wewe, ngoja washikishwe Adabu

Kwani kikuwa na ulazima gani magaidi ya Parestine wakawateka Wayahudi
Kwa sababu magaidi ya kizayuni yamekalia ardhi zao na yanastahili kuuliwa kwa wingi kîla inapopatikana fursa
 
Kwanza wawaachie mateka ndipo tuangalie suala la netanyahu. Wale watu wasio na hatia wamewashikilia kwa sababu gani?
Kwanza waondoke kwenye ardhi za watu wanazozikalia bila sababu ardhi za watu wamezikalia kwa sababu gani
 
Trump tunaweza tusimuelewe lakini huyu ndio kiongozi anatakiwa kuweka mambo sawa, haya yote tunayoona yametokea ME na mabalaa haya ya ISS ni siasa mbovu sana Rais mshenzi na mjinga kuliko wote Obama, huyu mbwa Obama ndio chanzo ya mabalaa haya yote jitu moja la hovyo sana kupewa nchi ya USA. Trump anakuja kuweka mambo sawa ma ingetokea Democratic kushinda ingekuwa msiba duniani. Trump kama JPM hivi watu wa vitendo.
Ni ujinga kama sio mjinga tu anaeweza kuwaamini wamarekani marekani hata ukipewa wewe urahisi utaenda kwenye sera zile zile yaani
 
Israel iko vitani na hamas,sasa wewe jiulize kwa kwa nini raia wanauwawa kwa wingi? Hemu nikuulize una hakika mwezi uliopita hakuna hamas hata mmoja aliyeuwawa miongoni mwa raia wa kipalestina? Je mwezi uliopita umesikia hata alzajeera imetangaza kuwa wameuwawa hamasi hata watano? Sasa tafakari hii ni December utaendelea kusikia wimbo wa genocide halafu korasi itakuwa wanawake na watoto ila hutasikia hamasi kauwawa/wameuwawa miongoni mwa raia. NA NI KOSA KISHERIA( WAR CRIMES) KUTUMIA RAIA KAMA KINGA. sasa hemu toa ushauri nini kifanyike upande wa hamasi na nn kifanyike upande wa Israel ilivita iendelee bila kuathiri raia wa kipalestina( wanawake na watoto)
Ni wazayuni kurudi kwao ulaya ya mashariki
 
Usisahau pia trumpet atakuja na derby yake na lgbtq sijui mtakimbilia wapi mwaka huu
Wale Mashoga wa Ki-mombasa na Ki-zanzibar watapata shida maana ukanda wa pwani hako ka mchezo ka kupandana wanaume kwa wanaume mnakopenda sn.
 
Wavaa kobazi wanachokoza na kuua kikatili tena wengine wanakuchinja shingo kwa nyuma huku wanashangilia alafu wakipigwa wanasema wanaonewa na kulialia. Yani ikibidi wafutwe HAMAS na palestina yote ikiwezekana haiwezekani waache kula ugali huko kwao alafu waje watese n kuua watu namna hii mbaya zaidi wametuulia na mtanzania mwezetu , hakika walipishwe kwa njia yeyote ile iwe brutality kabisa bila huruma yeyote ile. Netanyau yupo sahihi kabisa huwezi kukaa unaona unapigwa badala ujilinde unabaki kusubiria tuu upigwe.. hawa washenzi ni wakuwafutilia mbali kwa namna yeyote ukiwaendekeza watazidi kutumia mwavuli wa kuonewa ili wakumalize kirahisi
 
Back
Top Bottom