imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Jana nilikutag ukanitoroka au hukuiona?😝Trump kelele nyingi tu kama shoga yake nyau watafanya nini zaidi ya walicho fanya. Kuna silaha US na Israel hawajaitumia Gaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana nilikutag ukanitoroka au hukuiona?😝Trump kelele nyingi tu kama shoga yake nyau watafanya nini zaidi ya walicho fanya. Kuna silaha US na Israel hawajaitumia Gaza
Wewe kumbe hakuna kitu kabisa! Umetokea wapi wewe usiye na uelewa kiasi hiki!!Sijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta. Eti wanasema Mungu aliwapa hiyo ardhii. Ina maana Mungu hakujua kuwa hii nchi ni ya Wapalestina? Kama kweli Mungu aliumba dunia, inakuwaje asahau kuwa Palestina ni ya wapalestina na hivyo asinge'wapa' hawa majambazi?
Kamua usiogope MBUNYE.Kamua baba
Trump ni kama Baltazar Engonga anatuwakilisha vyema pande za middle East. Trump kanyaga twende. I can't wait naona January 20 ni mbali
Trump ni kama.mtoto wa kizungu tajiri aliyezoea kila kitu kwenda anavyotaka kwa kulia tu.Anaropoka tu..maisha hayajawahi kuwa rahisi na mepesi kiasi hicho...
Hana lolote huyu, kwanza ana maadui wengi ndani ya marekani kuliko huko mashariki ya kati. Waliotaka kumtungua bado wapo.He is so bold and always speaks with great authority
Japo huwa anaogea kwa kejeli na madharau ila deep inside anaongea ukweli na hapendi kabisa kona kona,
Bora wa mwaka 48 kuna watu waliokuwa wameipora karibu miaka 2000 wenye nayo wamerudi wamebaki kulialiaWaliopora ni magaidi waliopewa ardhi za watu mwaka 48
Kamua mpaka basssss!
Mpaka ilie fookooh fookooh foookooh fookoohKamua mpaka basssss!
Yeah, kabisa.Mpaka ilie fookooh fookooh foookooh fookooh
Mie pia naona vita sio ya kidini ila israhell hana shida na mateka aliisha watoa sadaqa zamani sanaMimi ni muislam lakini hua najizuia sana kutazama hii vita kwa mtazamo wa kidini na nadhani hata sio vita vya kidini kwasababu ukiwaangalia Saudia, Egypt na nchi nyingine kubwa za kiislam, mateso ya Wapalestina hua kama hawana time nayo sanaaa!
Pia hua nakosa logical reasoning kwa Hamas kuteka wanawake na watoto, wanaweza vipi kuwa proud mpaka kuonesha video wanavyowachukua mateka wanawake na watoto? Au wanajua wangechukua wanaume tuu dunia isingepigana sana kumshinikiza Netanyahu kutafuta njia za amani za kuwarudisha kwasababu wanaume tunahesabika tuko expendable?
Lakini tukirudi kwa kauli ya Trump najiuliza atafanya kitu gani cha nguvu kuwarudisha mateka zaidi ya ambayo Netanyahu keshafanya.
Tatizo hao mateka kwasasa Hamas wanawafanya kama human shields, any move ya kumpiga aliewashikilia automatically inawaumiza na wao ndo maana Netanyahu alitumia nguvu sana akaua uongozi wote wa Hamas ila mwishowe ikabidi tuu atangaze dau $5m kwa yeyote atakaewezesha kuokolewa mateka hata mmoja.
Labda atie presha kwa Iran ili in return Iran nae awashinikize Hamas kuwaachia mateka lakini pia hii inagoma kwasababu wameuliwa pia karibu uongozi wote wa Hezbollah na hakuna mateka alieachiwa, sidhani kama hii inaweza kuwa solved kwa kutumia nguvu labda waamue hawahitaji tena kuokoa mateka wakiwa hai which again is pointless!!
Unaibomoaaa MBUNYE haswaaYeah, kabisa.
Ubaya ubwela
Ondokeni kwenye ardhi za watu wazayuni hakuna dini dini munaleta nyie wazayuni wa jf ila wapalestina wanataka ardhi zao na siii Vinginevyo yaaniHao israel inawashika sio mateka ni wafungwa waliofanya makosa sasa october 7 hamas walivamia israel wakawashika raia wasio na hatia hovyo hovyo tena wanawake na watoto, wakabaka, wakalawiti , wakaua kikatili embu tuambie dini yako ya uislamu mtume aliwaambia mshike mateka wanawake na watoto? Na mbake na kulawiti
nahamu ya kubomolewa MBUNYEYeah, kabisa.
Ubaya ubwela
Ugaidi ni mwisho miaka hiiUnaposema kinyume cha matakwa ya Dunia nzima unamaanisha nini?
Tena ikibidi unakosea mlango wa kuingilia makusudi.Unaibomoaaa MBUNYE haswaa
Sasa hizi ndo tunazoziita conspiracy theories. Tupe link inayothibitisha kauli hii.Sijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta.