Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Wale Mashoga wa Ki-mombasa na Ki-zanzibar watapata shida maana ukanda wa pwani hako ka mchezo ka kupandana wanaume kwa wanaume mnakopenda sn.
Ila bado makanisani ndio unaambiwa kama kufirana na kusagana ni haki za binadamu
 
Hakuna mateka wowote waliotekwa, ni usanii mtupu wa kujaribu kuhalalisha ajenda ya Mazayuni kuhalalisha uporaji wa ardhi ya Wapalestina.
Kwa hiyo unabishana na Hamas wenyewe waliokiri kuwa wameteka kweli na wakathibitisha kwa video nyingi, na kwamba lengo mojawapo walitaka kubadilishana hao mateka na wafungwa wao walioko magerezani Israel?
 
Sasa hizi ndo tunazoziita conspiracy theories. Tupe link inayothibitisha kauli hii.
Wala hakuna conspiracy history zipo wazi kwamba kabla ya kuwekwa hapo hako kataifa kalitakiwa kuekwa afrika mashariki ila wakaghairi
 
Wavaa kobazi wanachokoza na kuua kikatili tena wengine wanakuchinja shingo kwa nyuma huku wanashangilia alafu wakipigwa wanasema wanaonewa na kulialia. Yani ikibidi wafutwe HAMAS na palestina yote ikiwezekana haiwezekani waache kula ugali huko kwao alafu waje watese n kuua watu namna hii mbaya zaidi wametuulia na mtanzania mwezetu , hakika walipishwe kwa njia yeyote ile iwe brutality kabisa bila huruma yeyote ile. Netanyau yupo sahihi kabisa huwezi kukaa unaona unapigwa badala ujilinde unabaki kusubiria tuu upigwe.. hawa washenzi ni wakuwafutilia mbali kwa namna yeyote ukiwaendekeza watazidi kutumia mwavuli wa kuonewa ili wakumalize kirahisi
Nenda kawafute sasa unangojea nini hizi kelele za hapa jf hazitawafuta
 
Bora wa mwaka 48 kuna watu waliokuwa wameipora karibu miaka 2000 wenye nayo wamerudi wamebaki kulialia
Bado haijawa ardhi yao kama ambavyo wahindi wekundu leo hawawezi kurudi marekani wakasema ardhi yao warudi kwao ulaya mashariki
 
Hana lolote huyu, kwanza ana maadui wengi ndani ya marekani kuliko huko mashariki ya kati. Waliotaka kumtungua bado wapo.

Mashariki ya kati ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo. Yeye ana miaka 4 tu, halafu bye bye.
Lazima mjue huyu ni mfanya biashara, ni pesa tu anazohitaji.
matter of the fact ni kuwa jamaa anaongea kitu kikichonyooka. Kuwa maadui ni moja ya package kwa mtu anayeongea facts.
Kuna clips kadhaa anaongelea relationship na wanawake msikilize, he is spot on.
 
Sijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta. Eti wanasema Mungu aliwapa hiyo ardhii. Ina maana Mungu hakujua kuwa hii nchi ni ya Wapalestina? Kama kweli Mungu aliumba dunia, inakuwaje asahau kuwa Palestina ni ya wapalestina na hivyo asinge'wapa' hawa majambazi?
Hao wapalestina wamekaa eneo la gaza toka lini? Wayahudi wamekuwepo eneo hilo toka walipotoka misri zaidi ya miaka 4000. Hawajawahi kuishi na wapalestina. Je hawa ndio wafilist waliokutwa na wayahudi? Walitokea wapi hawa wapaleztina karnre hizi za KARIBUNI. AU NDIO WALIKUWA WA AITWA WASAMARIA.?
 
Sijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta. Eti wanasema Mungu aliwapa hiyo ardhii. Ina maana Mungu hakujua kuwa hii nchi ni ya Wapalestina? Kama kweli Mungu aliumba dunia, inakuwaje asahau kuwa Palestina ni ya wapalestina na hivyo asinge'wapa' hawa majambazi?
kama ni kiini macho nenda pale Tel Aviv kamata wayahudi wawili kisha chinja then

njoo utusimulie kuwa ni kiini macho
 
Wahamiaji haramu mna tabu kweli.
Mkuu,

Sijapata bahati ya ku experience uhamiaji haramu hata kwa sekunde moja katika maisha yangu.

Nimeingia Marekani na immigrant visa, si non-immigrant visa.

Google that.
 
Magaidi hawafurahii jambo hili kwa sababu wao ndoto yao ni "Global Jihad Mission" na kuua watu kwao ni ibada. Bure kabisa.
 
Bado haijawa ardhi yao kama ambavyo wahindi wekundu leo hawawezi kurudi marekani wakasema ardhi yao warudi kwao ulaya mashariki
Wahind wekundu hawajah kutoka Marekani. By the way hao watu wanaoitwa wapalestina walikuwa ni mchanganyiko wa waarabu wayahud wasamaria, na mabedui na myahud hajamkataza mwarabu kuwepo hapo. Alichofanya ni kuita hiyo ardhi Israel ila ndani yake wapo waarabu wayahud mabeedui na Samaritan.
 
Trump ni kama.mtoto wa kizungu tajiri aliyezoea kila kitu kwenda anavyotaka kwa kukia tu.

Analazimisha wenzake wacheze mpira anavyotaka yeye kwa sababu mpira ni wake na yeye anafadhili wachwzaji wengi.

Lakini watu hawapendi alivyo na kiburi, wanaanza kujiondoa kwenye timu yake, wengine wanafuma mipira yao, wengine wanacheza vitenesi.

Mwishowe Trump atajikuta hana timu watu wote wamemkimbia amebaki yeye anacheza mpira na mbwa wake tu.
Trump ni chuma kingine hiki, Hebu ona tu Putin anavyoishiwa nguvu akikutana nae 😀😀 (utani)

Sema real recognizes real, Putin waliheshimiana sana na Trump, Ni kipindi alitulia kuwashubiri kina Biden wanaojikita zaidi na mambo ya kubadili jinsia



Big Boss Mentality, Kamala angebaki nyuma anacheka, Biden angekuwa kapotea

 
Back
Top Bottom