ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Trump ni mtu mzuri sana amempa OFA Putin bila masharti kumfichia aibu mtu mzima mwenzake, sasa nijuu yake Putin kusoma alama za nyakatiMmarekani mwenyewe anamtegemea mrusi ,asijukute mbabe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump ni mtu mzuri sana amempa OFA Putin bila masharti kumfichia aibu mtu mzima mwenzake, sasa nijuu yake Putin kusoma alama za nyakatiMmarekani mwenyewe anamtegemea mrusi ,asijukute mbabe
USAID in Russia | Fact Sheet | U.S. Agency for International Development USAID in Russia | Fact Sheet | U.S. Agency for International Development😂😂😂😂😂 Usaid iko had Moscow?!! Hii Rusia ambayo imekuja na cure ya kansa afu leo isaidiwe na marekani ambayo haijui hyo kinga ya kansa!!!Bro unanichukuliaje asee?!!
Putin Atakataa Tu,au akikubali ujue baadhi ya maeneo ya Ukraine kashayabebaTrump ni mtu mzuri sana amempa OFA Putin bila masharti kumfichia aibu mtu mzima mwenzake, sasa nijuu yake Putin kusoma alama za nyakati
Makubaliano ni lazima yawe na maumivu kwa pande zote mbili, huwezi kupata kila unachotaka, kuna vingine lazima ukubali kuvikosaPutin Atakataa Tu,au akikubali ujue baadhi ya maeneo ya Ukraine kashayabeba
Wabongo vituko tu yani upo zako tandahima unakula zako kiporo cha ugali unajikuta unaijua urusi kuliko trump anavyoijuaKwa sasa Marekani anaweza kuweka vikwazo vip vitakavyo ifanya Urusi iogope?
Labda angesema kuwa ataivamia hapo kidogo maneno yange kuwa na uzito kidogo na sio hizo tumba za vikwazo.
Sawa gigy moneyHizi ni bangi.
Urusi haiwezi kufilisika kutokana na kuwepo kwa vikwazoRais wa Marekani, Donald Trump, amemwonya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kumaliza "vita vya kipuuzi" nchini Ukraine au akabiliwe na ushuru mkubwa na vikwazo zaidi.
Kupitia jukwaa lake la Truth Social Jumatano, Trump alisema ana uhusiano mzuri na Putin lakini akasisitiza kuwa ni wakati wa kumaliza vita hivyo. Alisema vita hivyo visingetokea kama angekuwa Rais na kuongeza kuwa hakuna maisha zaidi yanayopaswa kupotea.
Trump alionya kuwa ikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano hayatafikiwa haraka, atalazimika kuweka ushuru na vikwazo vikali kwa bidhaa zote kutoka Urusi kwenda Marekani na nchi nyingine zinazoshirikiana.
Aidha, alikumbusha mchango wa Urusi katika kushinda Vita vya Pili vya Dunia lakini akasisitiza kuwa Urusi lazima imalize vita hivyo sasa, vinginevyo hali itakuwa mbaya zaidi.
Serikali ya Biden tayari imeweka vikwazo vingi dhidi ya sekta mbalimbali za kiuchumi za Urusi, ikiwemo mafuta na nishati, ili kuzuia fedha za kufadhili vita hivyo.
=============================================================
US President Donald Trump has warned his Russian counterpart Vladimir Putin to end the 'ridiculous war' in Ukraine or face high tariffs and further sanctions.
Trump, who was sworn in as the 47th President of the United States on January 20, said this on Truth Social on Wednesday, a social media platform owned by him.
Trump called out Russian President Putin by name in the social media post, arguing that he always had a good relationship with the leader, but that it was time to settle "this ridiculous War!"
Asserting that he is looking to hurt Russia, Trump said he wants no more lives to be lost in the war.
“Let's get this war, which never would have started if I were President, over with! We can do it the easy way, or the hard way - and the easy way is always better. It's time to “MAKE A DEAL.” NO MORE LIVES SHOULD BE LOST!!!” Trump said.
“I love the Russian people, and always had a very good relationship with President Putin - and this despite the Radical Left's Russia, Russia, Russia HOAX. We must never forget that Russia helped us win the Second World War, losing almost 60,000,000 lives in the process,” he said.
He also warned that if there was not a ceasefire deal soon, he would “have no other choice” but to impose tariffs, taxes and sanctions on “anything being sold by Russia to the United States, and various other participating countries.”
“All of that being said, I'm going to do Russia, whose Economy is failing, and President Putin, a very big FAVOUR. Settle now, and STOP this ridiculous War! IT'S ONLY GOING TO GET WORSE. If we don't make a “deal,” and soon, I have no other choice but to put high levels of Taxes, Tariffs, and Sanctions on anything being sold by Russia to the United States, and various other participating countries,” Trump said making an open appeal to the Russian leader.
The Biden administration has already imposed numerous sanctions on various Russian economic sectors, including its oil and energy sectors earlier this month, in an effort to cut off its revenues to fund the war in Ukraine.
Source: Daily Pioneer
Vikwazo walivyowekewa warusi ni nusu tu na wakiongezewa nusu nyingine wameisha kabisa na itabidi tu dikteta Putin ajiuzulu.Urusi haiwezi kufilisika kutokana na kuwepo kwa vikwazo
fuatilia vizuri kuhusu namna gani Russia alijipanga na vita. acha kufatilia false news za vyombo vya vibaraka kama CNN, BBC & Al jazeera. mfollow ibrahim rahby pale mjini insta upate taarifaUrusi ameathirika sana wewe unafikiri pesa yote ile anayo peleka jeshini ingekuwa inakwenda kwenye maendeleo wange sogea kwa kiasi gani? watu wanajua uchumi wa Urusi uko vibaya sio ule wa kabla ya vita , sasa ameshapewa OFA ni yeye Putin kusuka au kunyoa , iran uchumi wake sio mzuri ndio maana hakuwa na msaada kwa Assad kipindi hiki, huyo North Korea ndio hamna kitu anapeleka wanajeshi wake kufa Urusi ili apate msaada
View attachment 3210677
Wewe umejuaje kama Russia hawakua wanajua vita itachukua muda gani, kwa unataka kutuambia Russia na vita zote alizopigana na uwezo wake wote wa inteligensia hawakuwaza plan b kama vita ingechukua muda mrefuMkuu ile operation Urusi hakutegemea kufika huu mwaka wa 3 , anachopoteza anakijua, mtu mpaka anakwenda kuazima wanajeshi North Korea wewe unafikiri ni kawaida? Trump ni muungwana sana Kampa OFA ya kiutu uzima tusubiri tuone atapokea vip OFA
Mkuu sio serikali ya Mama anaupiga mwingi hiyo. Marekani ndio Baba wa fitna na roho mbaya dunia nzima.Usa amflisi mrusi kwa vikwazo?!!
Urusi kufilisika kwa vikwazo siyo kazi rahisi kama unavyofikiri. Urusi bado ni nchi kubwa sana yenye rasilimali nyingi sana.Vikwazo walivyowekewa warusi ni nusu tu na wakiongezewa nusu nyingine wameisha kabisa na itabidi tu dikteta Putin ajiuzulu.
Kila mtu anaona wala hakuna siri, hii vita sasa ni miaka 3 Urusi hakutarajia hili kutoka Ukrainefuatilia vizuri kuhusu namna gani Russia alijipanga na vita. acha kufatilia false news za vyombo vya vibaraka kama CNN, BBC & Al jazeera. mfollow ibrahim rahby pale mjini insta upate taarifa
Ile ilikuwa ni military operation ndio maana Target ilikuwa ni kuondoa unazi ambapo ni pamoja kumtoa mtawala wa hao wana ambaye ni Zelensky, majeshi ya Urusi yalifika mpaka nje ya KYIV baada ya kukutana na upinzani mkali wakakimbia na kubadilisha tena lengo la military operations wakasema sasa wanataka kuchukua Luhansk na Donetsk, akabadilisha gia angani Putin, hakutarajia aliyo kutana nayo Ukraine , Ndio unaona sasa kwasababu mambo yamekuwa magumu inabidi atafute namna ya kupambana sasa ndio akapiga mbio ndefu Korea kaskazini na Iran, tena Nakukumbusha wakati ananunua Drone kwa mara ya kwanza alimficha Iran kuwa anakwenda kupigana na Ukraine mpaka Iran wa watu anaanza kujitetea kuwa hakujua kama Urusi anaweza kutumia kwenye vitaWewe umejuaje kama Russia hawakua wanajua vita itachukua muda gani, kwa unataka kutuambia Russia na vita zote alizopigana na uwezo wake wote wa inteligensia hawakuwaza plan b kama vita ingechukua muda mrefu
Rasilimali nyingi sio hoja na ni kweli ni nchi inayoongoza duniani kwa hizo rasilimali lakini sasa hizo rasilimali zimeisaidia nini hadi wenyewe ndio wa kuwekewa vikwazo badala ya wenyewe ndio wangekuwa wanawawekea wengine vikwazo.Urusi kufilisika kwa vikwazo siyo kazi rahisi kama unavyofikiri. Urusi bado ni nchi kubwa sana yenye rasilimali nyingi sana.
Rasilimali nyingi sio hoja na ni kweli ni nchi inayoongoza duniani kwa hizo rasilimali lakini sasa hizo rasilimali zimeisaidia nini hadi wenyewe ndio wa kuwekewa vikwazo badala ya wenyewe ndio wangekuwa wanawawekea wengine vikwazo.
Sasa huoni kwamba kuwa na raslimali nyingi sio suluhisho kuna mengine zaidi ya rasilimali.
MBWA WEWE MTUMWA WA URUSIHata kuivamia Russia sijui wangepitia wapi maana wote wangeangamia...
Umesema vikwanzo vimedunda iran na north korea? Rudi kasome tena, huna idea nini inasemaAcheni ujinga, Trump ni mjinga kama wajinga wengine. Dunia sasahivi imebadilika sana. Vikwazo vimedunda ktk nchi ndogo kama North Korea na Iran ndio vije viweze kwenye taifa kubwa kama Russia?