Trump aifuta wizara ya elimu.Kisa walimu wengi wanakiunga mkono chama cha Democratic.Mfumo anaoutaka ni K-12

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Pamoja na onyo kutoka kwa wafuasi wake wa MAGA,rais Trump ametia saini amri ya kuifutilia mbali wizara ya elimu ya nchi hiyo.
Amri hiyo imetajwa itaathiri sana vyuo vya elimu ya juu na vya kitafiti na hivyo kutazidi kudidimiza fikra ya Marekani kuwa taifa kubwa lenye maendeleo makubwa ya teknolojia.

Trump delivers on a generational conservative goal, but it could be risky for Republicans as well as students​

1742556075839.png
 
View attachment 3278681
🤣🤣🤣🤣 sasa Itakuwaje
 
Wewe ni muongo wizara ya elimu ya usa ilijaa maujinga ya LGBTQ na ushetani mwingi

USSR
Sasa ni dawa gani hiyo anayoitumia.
Si abadili curicculum tu
 
Pale kichaa anapo kabidhiwa rungu unafikiri kinachofuata ni nn
 
Swali la kujiuliza ni weledi wa US intelligence services kwenye kuilinda nchi yao na nafasi yao kama viongozi wa free-world.

Uraisi wa Trump ume-expose weakness yao; mtu mwenye misimamo ya Trump; Europe ashindi uchaguzi miaka 800.

Na kama Joe Biden alikuwa psychologically and physically weak. Mtu ambae asingeweza shinda uchaguzi kwa hali yake wangemu-expose mapema sana ili Democrats watafute mgombea wa kushinda.

Shida ni kwamba security services za wazungu wanapenda raisi ambae ni weak, ili wao wafanye maamuzi ya kuendesha nchi.

Usalama wa US walidhani wanaweza ficha madhaifu ya Biden; kama ilivyokuwa kwa Roosevelt zama hizo; asilimia kubwa ya raia wa marekani hawakuwa wanajua Roosevelt ana polio na wheelchair president.

Hawa watu walidhani wanaweza fanya upuuzi huo na Biden, wameonyesha ni usalama wenye weakness kubwa. Sasa kwa jinsi ninavyowaelewa viongozi wa Europę lesson learned na wanavyoendesha nchi zao wakikosa trust. Sio swala la muda mfupi eventually watataka kuhakikisha wana-control fate ya mataifa yao. Kitu ambacho European state awawezi vumilia ni kuongozwa na mtu asie na uwezo.
 
Punguzeni mihemuko.

Watu naona hata hamuelewi kinachoendelea.

Hiyo wizara haina faida yoyote kwa Marekani.

Wizara ilianzishwa mwaka 1979 chini ya Rais Carter.

Kabla ya hapo haikuwepo na Marekani ilikuwa iko vizuri tu.

Sehemu nyingi duniani, ikiwemo Tanzania, wizara huanzishwa na zingine hufutwa.

Trump anataka suala la elimu lirudishwe kwenye majimbo kuliko kuwa linaendeshwa na serikali kuu.

Wengine wenu si ajabu hamuelewi jinsi ambavyo Marekani inavyoendeshwa.

Mmeshazoea Rais wa Tanzania kuendesha kila kitu basi mnadhani na nchi zingine mambo huendeshwa kama mlivyozoea.

Mfano, Rais Samia ana uwezo wa kumfukuza kazi mkuu wa mkoa yeyote yule. Papo hapo mnadhani Rais Trump naye anaweza kumfukuza kazi gavana yeyote yule 🤣.

Acheni kuhemuka. Suala la elimu linarudishwa kwenye majimbo ili serikali za majimbo, ambazo ndo zipo karibu na wananchi, zilishughulikie.

Katika akili zenu si ajabu mnadhani Trump anataka kuzifuta shule zote Marekani 🤣.

Tulieni. Shughuli za elimu zinarudishwa ziwe karibu zaidi na wananchi kwenye majimbo yao.

Hata wizara ya usalama wa ndani ya nchi [Department of Homeland Security] haikuwepo kabla ya mwaka 2002.

Iliundwa baada ya mashambulizi ya 9/11.

Huduma za uhamiaji, kwa mfano, zamani zilikuwa chini ya wizara ya kazi, baadaye zikahamishiwa kuwa chini ya wizara ya sheria, na mwaka 2003 zikahamishwa tena na kuwekwa chini ya Department of Homeland Security.

Wale walioingia zamani Marekani watakuwa wanaijua INS….Immigration and Naturalization Service ambayo sasa haipo tena.

Sasa hivi kuna USCIS [U.S. Citizenship and Immigration Services]. Hii ilianzishwa mwaka 2003.

Yaani kila afanyacho Trump, mnahemuka.

Kipindi cha kampeni aliahidi kuwa moja ya vitengo vya serikali atavyovifuta ni hiyo wizara ya elimu.

Hivyo, anatekeleza ahadi yake. Nini kipya hapo? Nini kilicho cha ajabu? Nini ambacho hakikujulikana kabla ya uchaguzi?

Yaani Trump hata akicheka, baadhi yenu mtahemuka na kuanza kulialia ‘Trump kacheka….oh my god’ 🤣.
 
Hawajui mkuu usichoke kutupa elimu mkuu
 
Pamoja na onyo kutoka kwa wafuasi wake wa MAGA,rais Trump ametia saini amri ya kuifutilia mbali wizara ya elimu ya nchi hiyo.
Amri hiyo imetajwa itaathiri sana vyuo vya elimu ya juu na vya kitafiti na hivyo kutazidi kudidimiza fikra ya Marekani kuwa taifa kubwa lenye maendeleo makubwa ya teknolojia.

Trump delivers on a generational conservative goal, but it could be risky for Republicans as well as students​

View attachment 3278681
Acha kuanzisha thread Kwa mihemko...unajua sababu ya yy kufuta..unatuletea sababu zisizo na kichwa wala mguu, ili ionekana ww ni WA Kwanza kuleta hiyo taharifa...next time acha kabisa huu upumbavu..alaaaah.
 
Back
Top Bottom