Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
Ile.risasi iliyomkosa itafutwe tenaTrump mpaka miaka yake ya kuongoza iishe wamarekani watakua wamechoka sana 😹
Ile.risasi iliyomkosa itafutwe tenaTrump mpaka miaka yake ya kuongoza iishe wamarekani watakua wamechoka sana 😹
Sijui. Waulize wenyewe hao madiwani wa huko.Baraza la madiwani la huko limeridhia huo uamuzi?
Huu ugonjwa unakuzwa zaidi na watu siasa za mlengo wa kushoto na wale wanaoguswa ajira zao kwenye hizo taasisi anazo zifanyia marekebisho.Hata Tanzania zipo wizara ambazo hufutwa, zipo ambazo huanzishwa, na zipo ambazo huchanganywa!
Hii hysteria juu ya kila kitu afanyacho Trump, nadhani ni matokeo ya ule ugonjwa wa TDS [Trump derangement syndrome].
Hapo tu ndio nitamuunga mkono TrumpShida ni kwamba democrats wanalazimisha ushoga kwenye mfumo wa Elimu. So Trump amewaachia waamue wenyewe majimboni kama wanataka ushoga mashuleni au la. Maana kila Maamuzi ya Trump wanayapinga mahakamani hata ya kulinda jinsia ya kike.
😹😹😹 Muache awanyooshe, mi ananifurahisha anavyowapelekea moto..!!Ile.risasi iliyomkosa itafutwe tena
Samahani pale UDSM, SUA, MZUMBE, UDOM kuna kozi mbalimbali za elimu, nenda kaangalie vigezo vinavyotumika kwenye udahili!Fikiria mwalimu ni mtu aliyeshindwa kufikia alama za kwenda kusoma kozi zingine
Kama Veta msiyoipenda inaendesha mafunzo kulingana na mahitaji ya eneo husika.Hii wizara ya elimu hata huku ingefutwa tu maana hakuna elimu yoyote ya maana inayotolewa zaidi ya kuzalisha vilaz,a kwa wingi.
Fikiria mwalimu ni mtu aliyeshindwa kufikia alama za kwenda kusoma kozi zingine ndiyo anaangukia ualimu sasa hapo unadhani ubora wa elimu utakuja kimiujiza?
Kama na sisi tungekuwa na serikali za majimbo basi wizara hii ifutiliwe mbali ili ipelekwe ngazi ya majimbo kila jimbo liamue linaendeshaje idara yake pengine pangekuwa na vigezo vizuri zaidi vya kuwapata walimu ili kuleta ushindani tofauti na sasa walimu ni failures.