Trump aliingilia kati kwa nguvu ili kumaliza vita Gaza na kuwambia Israel hamuwezi kuwamaliza Hamas, tuwarudishe mateka nyumbani

Trump aliingilia kati kwa nguvu ili kumaliza vita Gaza na kuwambia Israel hamuwezi kuwamaliza Hamas, tuwarudishe mateka nyumbani

Tu
😂 😂 😂 Ila kobaz wajinga sana aisee!..

Yani kupigika kote kule kwa hamas na Gaza ila mtu bado anaona Israel kaishiwa?
Tukiuliza ww mjanja aya Netanyahu kushinda lengo lipi adi sasa???
 
Hivi kumbe na Hamas walikuwa bado wana nguvu hadi makubariano yamefikiwa,hii vita imetuonyesha ubora na udhaifu wa Israel, kuanzia Leo sitasimulia tena story ya Israel kuzipiga nchi za kiarabu kwa siku sita kumbe aliefanya hivyo ni US kwa jina la ISRAEL
Zile story zilikuwa kamba zamani pia vyombo vyote vya habari vilikuwa vyao.

Wewe fikiria eneo la Gaza linazidiwa ukubwa na Kigamboni mwaka na nusu pamoja na silaha za kila aina bado walikuwa wanachezea kichapo kutoka kwa wanamgambo wa Hamas na hawajui mateka walipo.

Mkwara tu wanajeshi kubeba mabegi makubwa vibuyu vya maji visu, Laptop😂
 
⚡️BREAKING: Tamko la Hamas Kuhusu Serikali ya Uvamizi Kuidhinisha Mkataba wa Kusimamisha Vita huko Gaza:

Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.

Vita vya Mafuriko vya Al-Aqsa vilidhihirisha umoja wa watu wetu wakubwa kwa upinzani wao wa ushindi na kuvunja kiburi cha adui.

Vita hivi vilituleta karibu na mwisho wa kazi, ukombozi, na kurudi, kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

Tulilazimisha uvamizi huo kusitisha uchokozi wake dhidi ya watu wetu na kujiondoa, licha ya majaribio ya Netanyahu kurefusha vita na kufanya mauaji zaidi.

Uvamizi huo ulishindwa kufikia malengo yake ya uchokozi na ulifanikiwa tu kufanya uhalifu wa kivita ambao unadhalilisha ubinadamu.

Damu ya mashahidi wetu kutokana na vita hivi vya mauaji ya kimbari haitapotea bure au kusahaulika. Viongozi na askari wa adui watafuatiliwa na kuwajibishwa kwa uhalifu wao, haijalishi itachukua muda gani.

Jukumu la dharura sasa ni kuanza mara moja kuondoa kuzingirwa, kutoa misaada, kuwahifadhi watu wetu, kutunza majeraha yao, kuwezesha kurudi kwa waliohamishwa, na kuanzisha ujenzi na kujenga upya. Hili limekuwa kipaumbele kwa uongozi wetu tangu siku ya kwanza.

Itifaki ya Misaada ya Kibinadamu, iliyokubaliwa chini ya usimamizi wa wapatanishi, inahakikisha utekelezaji wa misaada, makazi na hatua za ujenzi upya.

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu (Hamas)
Jumamosi, 18 Rajab 1446 AH
Inalingana na Januari 18, 2025
 
Yemen kwasasa kaigeuza Israel seem ya kutest vitu vyake mana kilasiku wanaitwanga Israel ndio nikasema Yemen imechangia pakubwa kuilazimisha marekani na washilika wao waingie mkataba na Hamas mana Yemen wao wamesema wataacha tu kuitwanga Israel ikiwa gaza nayo itaachwa kupigwa na kuzingirwa marekani kaona isiwe tabu simu moja Netanyahu achia Gaza ali ngumu pia upande wa marekani jana meri yake ya Kijjesh inayobeba ndege imepigwa uko Red Sea kwake MOTO Israel nayo inapigwa seem muimu muimu kaona sasa ndio wkt kuzima vizozo mwisho nitakosa soko la silaha zangu za kapumba!!@!
 
Trump kawambia Israel mnataka viendelee Gaza wakati hamna marengo yeyote na Yemen kufunga bahari kila siku tunapata hasara😅
 
Zile story zilikuwa kamba zamani pia vyombo vyote vya habari vilikuwa vyao.

Wewe fikiria eneo la Gaza linazidiwa ukubwa na Kigamboni mwaka na nusu pamoja na silaha za kila aina bado walikuwa wanachezea kichapo kutoka kwa wanamgambo wa Hamas na hawajui mateka walipo.

Mkwara tu wanajeshi kubeba mabegi makubwa vibuyu vya maji visu, Laptop😂
Na pampers ndio nyingi!!!!!!!
 
Watu awaelewi ukiona Wanajesh wakakamavu lkn wapo na sare za IDF ujue ao kutoka washilika na ndio wanaopigana vita apo GAZA kama Ukraine unapoona wanajesh washilika lkn wapo ktk sare za Ukraine ukimkamata ndio utajua kumbe uyu kutoka UK au USA au France NK lkn wate agenda yao kutaka iyonekane Israel ndio inapigana na Israel inamaguvu makubwa sana lengo kuwatisha Warabu waiogope Israel kumbe weupe na waoga sana wakufa.
 
These are the familiar news hand outs from masjid ubwabwa, nothing new.
 
Trump ametumia akili kubwa kusimamisha vita vile! Vita imezigarimu pande zote.
 
Back
Top Bottom