Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kama mmoja wa Taifa na Bara ambalo limekuwa marginalized kwa kutumia mabavu hapo kabla na mpaka sasa hivi kwa hila / ujanja na ulafi wa viongozi wetu ninafurahia kinachotokea....
Nina uhakika hata Trump anachofanya anaelewa detriment kwa taifa lake in long term ila hajali (ni populist na mpenda sifa) lakini hizi story za mabavu na kutishia watu kila siku, haziwezi kufanya kazi katika karne ya 21; (Na hata Great Britain aliyeweza kipingi kile aligundua kwamba ni gharama kuendesha makoloni au kuwashinikiza watu wakati unaweza kuwalaghai wakakuletea wenyewe mali zao)
Hata wanaomkubalia Trump wameshagundua anapenda sifa hivyo ni kama mtoto unampa Toy acheze nalo ili asikupigie kelele na wewe uendelee na hamsini zako...
Anyway ni wakati wa Afrika kuelewa kwamba future yao inategemea nguvu zao wenyewe bila kutegemea yoyote na when push comes to shove kila mtu ana look for number one...
Ingawa as a Globalist ninasikitika sana, kinachoendelea kinaonyesha kwamba kazi nzuri yoyote inaweza kuvunjwa kwa muda mfupi; Tupiganie Umoja wa Mataifa wenye Nguvu na sio Umoja wa Mataifa ambao ni Nyenzo ya Wachache....