Trump amechelewa Karne Kadhaa; Waliposhindwa kina Great Britain, waliofuata Walitumia Soft Imperialism: Simba mwenda Pole ndio mla Nyama

Nimemaliza kusoma hiki kitabu kinaitwa
"Why Empires Fall: Rome, America, and the Future of the West" kinaongelea mambo mengi uliyoyagusia na kuhitimisha kwamba Marekani haiwezi kurudia ilivyokuwa (MAGA) lakini inaweza kujenga dunia mpya ambayo inaweza kuwa na ushawishi kwa kufanya kazi pamoja na nchi nyingine.

Reviews.

Even if the oval office was manned by Abraham Lincoln or FDR, there's no magic wand America can use to restore her lost fortunes.

She may still be a potent global power, but the age of Pax Americana is over, and considering a table of empires she is what Byzantine Rome was during 6th Century under Emperor Justinian.​
 
Hahaaaaa.

Niliwaambieni kuwa Democrats walizidi mno na lawfare yao dhidi ya Trump.

Kila kukicha alikuwa ananyanyaswa tu.

Walimfungulia makesi uchwara kibao.

Walichomfanyia hakina tofauti na ambacho CCM huwafanyia wapinzani.

Kwa kiasi kikubwa, Democrats ndo wamesababisha Trump arudi.

Sasa hivi watu wanalialia hawajui hata wafanye nini.

Binafsi naamini mambo yatakuwa poa tu.

Vita zinazoendelea zinaelekea kuisha.

Napenda sana pia Marekani kusitisha misaada ya maendeleo kwa nchi zingine.

Hysteria iliyopo inachagizwa na Trump Derangement Syndrome [TDS].

Things will be just fine. Relax people.

Trump is given to hyperbole.

So I say watch more what he does than what he says.
 
Kwani sasa hivi nchi hazikubaliani?

Mbona kuna mikataba mingi sana ya kimataifa ambayo nchi nyingi zinakubaliana?

Unaposema kukubaliana unamaanisha nini? Unamaanisha kukubakiana 100% kwenye kila kitu? Hiki mbona hata kwenye familia halitokei.

Nimekuuliza swali hili, hujalijibu.
Tuchukulie suala la mazingira;
Kila mtu anajua tatizo kubwa zaidi la dunia katika mazingira ni fossils fuels. Ulaya wanapambana kupunguza matumizi ya fossils fuels lakini sio China, Urusi, India, US au Uarabuni wanaojali hayo mambo. Hawawajibiki wala hawataki hata kufidia gharama wanaothirika na huo mtindo wao maisha. US Trump anawaimbisha Wamarekani "drill baby, drill baby"!

Suala la Sovereignty; Uvamizi wa Russia kwa Ukraine na Georgia

Suala la Haki za watu na uhuru wao; Serikali za Mataifa kama Russia, China, Uarabuni na mengi ya Africa wanawaburuza tu raia wao wanavyopenda kama properties zao binafsi watu wa West wakisema hivyo sia sawa unakuwa ugomvi.
 
Even if the oval office was manned by Abraham Lincoln or FDR, there's no magic wand America can use to restore her lost fortunes.

She may still be a potent global power, but the age of Pax Americana is over, and considering a table of empires she is what Byzantine Rome was during 7th Century under Emperor Justinian.​
Is what is considered wealthy at the times of Roman Empire the same as today..., There was the time when having a lot of Slaves was something to be desired and considered the mark of wealthy but today you might be seen as a witch and belonging to the dark ages...

USA have Power and Influence though it might not be by the use of barbaric means but stealthy... and after the likes of Roman Empire there were two superpowers now arguably there is just one (what is more powerful than that); I can argue the Again in making America it might not have been that great as not long ago there were Civil Wars and even some people lynching their fellow countrymen...

So to me their greatness was not so long time ago..., the times of Cowboy Movies, The Cocacola, the RAP Music, the POP Music by the Likes of Michaels Jackson, The Levis Jeans, The Marlboro Cigarettes etc. The Air Jordan... (What I mean is the American Culture was on everyone Sitting Rooms) TVs without the Negativities....
 
Tuchukulie suala la mazingira;
Kila mtu anajua tatizo kubwa zaidi la dunia katika mazingira ni fossils fuels. Ulaya wanapambana kupunguza matumizi ya fossils fuels lakini sio China, Urusi, India, US au Uarabuni wanaojali hayo mambo. Hawawajibiki wala hawataki hata kufidia gharama wanaothirika na huo mtindo wao maisha. US Trump anawaimbisha Wamarekani "drill baby, drill baby"!

Suala la Sovereignty; Uvamizi wa Russia kwa Ukraine na Georgia

Suala la Haki za watu na uhuru wao; Serikali za Mataifa kama Russia, China, Uarabuni na mengi ya Africa wanawaburuza tu raia wao wanavyopenda kama properties zao binafsi watu wa West wakisema hivyo sia sawa unakuwa ugomvi.
Unaposema kukubaliana unamaanisha nini? Unamaanisha kukubaliana 100% kwenye kila kitu? Hili mbona hata kwenye familia halitokei?
 
Ukoloni mamboleo ni kichaka tu cha kujifichia cha watawala wabovu, wajinga, mafisadi na wala rushwa. Mtu anasaini mwenyewe mkataba wa hovyo wa kijinga anahongwa 10% halafu anageuka kupiga porojo za ukoloni mamboleo na nyie mnaimba tu kama Kasuku. Hata leo kampuni la kuchimba madini au kujenga barabara kutoka Africa likifika ulaya au Marekani likakuta viongozi wanahongeka litawahonga tu kwa maslahi yake. Huko West sasa hivi kuna kesi nyingi tu za watu na makampuni kutoka Urusi, China na Uarabuni yanayofanya lobbying na kutoa hongo kujipatia maslahi mbalimbali.

Pia haiwezekani kuwa na Umoja wa mataifa ambapo Marekani, Urusi, China, Brazili, India, Canada, Australia na EU watakuwa na nguvu au kura sawa na Malawi au Burundi.
Inahuzunisha sana asee. Kama Karamagi na Ngeleja wamesaini mikataba wakiwa na taulo kiunoni hotelini. Mke wa Ngeleja alitaka kutorosha masanduku ya hela za kibongo na dollars uwanja wa ndege Dar kupeleka KCB Nairobi lakini wanausalama wakamzuia kujua ni mke wa waziri wakamshauri azipitishe kwa barabara Namanga.

Acheni tu Trump aendelee navituko.
 
Hahaaaaa.

Niliwaambieni kuwa Democrats walizidi mno na lawfare yao dhidi ya Trump.

Kila kukicha alikuwa ananyanyaswa tu.

Walimfungulia makesi uchwara kibao.

Walichomfanyia hakina tofauti na ambacho CCM huwafanyia wapinzani.

Kwa kiasi kikubwa, Democrats ndo wamesababisha Trump arudi.

Sasa hivi watu wanalialia hawajui hata wafanye nini.

Binafsi naamini mambo yatakuwa poa tu.

Vita zinazoendelea zinaelekea kuisha.

Napenda sana pia Marekani kusitisha misaada ya maendeleo kwa nchi zingine.

Hysteria iliyopo inachagizwa na Trump Derangement Syndrome [TDS].

Things will be just fine. Relax people.

Trump is given to hyperbole.

So I say watch more what he does than what he says.
Wamarekani walimchagua Trump kwa sababu nyingi,
Wapo raia(hasa wenye asili ya uarabu) waliomchagua kwa sababu atamaliza vita vya Gaza, wengine kwa sababu bei za mayai zilikuwa juu sana, wengine kwa sababu ya DEI, LGBTQ, Uhamiaji n.k
 
Halafu wakirudi huku wanasema ni ukoloni mamboleo, ujinga mtupu.
 
Hahaaaaa.

Niliwaambieni kuwa Democrats walizidi mno na lawfare yao dhidi ya Trump.

Kila kukicha alikuwa ananyanyaswa tu.

Walimfungulia makesi uchwara kibao.

Walichomfanyia hakina tofauti na ambacho CCM huwafanyia wapinzani.

Kwa kiasi kikubwa, Democrats ndo wamesababisha Trump arudi.

Sasa hivi watu wanalialia hawajui hata wafanye nini.
Ofcourse ni kweli inawezekana Democrats wamezidi kuleta habari za political correctness (which has gone mad) lakini hii haiondoi kwamba Trump kuna mambo mengi aliyofanya ambayo yalistahili awe Lupango na sio Whitehouse, Mfano inciting wale vibaka wavamie congress
Binafsi naamini mambo yatakuwa poa tu.

Vita zinazoendelea zinaelekea kuisha.
Kuna mambo ukifanya damage yake ni to infinity..., Just imagine mimi Osama nikaa sehemu kwenye Tent huku navuta Shisha, na vijana wadogo wamenizunguka.., kuweka kwangu tu video ya Trump anayosema anataka kuchukua Panama au kuhamisha watu wa Gaza itanipatia wafuasi wa kutosha, which makes the world and USA unsafe kwa kuwapa fodder magaidi ya kupata wafuasi...
Napenda sana pia Marekani kusitisha misaada ya maendeleo kwa nchi zingine.
Hata mimi ukizingatia huwa hakuna misaada ya bure sababu wakichukua kwa mkono huu kumbuka kwamba hapo wanaweka mirija ya kuweza kuwanufaisha pia, Hata Vita vya kule Kuwait tuliwaona USA kama wakombozi kumbe Busha Senior huko pia ana visima vyake na kampuni ya Zapata....; Vilevile waliojenga Iraq ni Kampuni za USA ambazo zilipewa contract za kufa mtu....
Hysteria iliyopo inachagizwa na Trump Derangement Syndrome [TDS].

Things will be just fine. Relax people.

Trump is given to hyperbole.

So I say watch more what he does than what he says.
As a Globalist or if I was an American Citizen I would think otherwise..., lakini as a concerned third party nasema iache iendelee kunyesha tuone panapovuja...
 
Ofcourse ni kweli inawezekana Democrats wamezidi kuleta habari za political correctness (which has gone mad) lakini hii haiondoi kwamba Trump kuna mambo mengi aliyofanya ambayo yalistahili awe Lupango na sio Whitehouse, Mfano inciting wale vibaka wavamie congress

Kuna mambo ukifanya damage yake ni to infinity..., Just imagine mimi Osama nikaa sehemu kwenye Tent huku navuta Shisha, na vijana wadogo wamenizunguka.., kuweka kwangu tu video ya Trump anayosema anataka kuchukua Panama au kuhamisha watu wa Gaza itanipatia wafuasi wa kutosha, which makes the world and USA unsafe kwa kuwapa fodder magaidi ya kupata wafuasi...

Hata mimi ukizingatia huwa hakuna misaada ya bure sababu wakichukua kwa mkono huu kumbuka kwamba hapo wanaweka mirija ya kuweza kuwanufaisha pia, Hata Vita vya kule Kuwait tuliwaona USA kama wakombozi kumbe Busha Senior huko pia ana visima vyake na kampuni ya Zapata....; Vilevile waliojenga Iraq ni Kampuni za USA ambazo zilipewa contract za kufa mtu....

As a Globalist or if I was an American Citizen I would think otherwise..., lakini as a concerned third party nasema iache iendelee kunyesha tuone panapovuja...
How did Trump incite the rioters?

Give me quotes, please.

And how does political correctness figure into this? I’m confused 🤣.

Au ulimaanisha/ ulitaka kusema kitu kingine?
 
Wamarekani walimchagua Trump kwa sababu nyingi,
Wapo raia(hasa wenye asili ya uarabu) waliomchagua kwa sababu atamaliza vita vya Gaza, wengine kwa sababu bei za mayai zilikuwa juu sana, wengine kwa sababu ya DEI, LGBTQ, Uhamiaji n.k
Ndiyo, sababu zipo kadhaa. Mara nyingi huwa hakuna sababu moja.

Wapo watu wengi tu ambao hiyo lawfare iliwa turn off.

Angalia exit polls. Threat to democracy nayo ilikuwa moja ya concern kubwa ya wapiga kura.

And guess what…..katika idadi kubwa ya hao watu ambao concern yao kubwa ilikuwa demokrasia, wengi wao walimpigia kura Trump.

Hivyo kuna segment kubwa ya electorate iliyowaona Democrats kuwa ndo walikuwa a threat to democracy.

Kitendo tu cha democrats kutaka kuliengua jina la Trump kwenye karatasi la kupigia kura, antidemocratic.
 
Tuchukulie suala la mazingira;
Kila mtu anajua tatizo kubwa zaidi la dunia katika mazingira ni fossils fuels. Ulaya wanapambana kupunguza matumizi ya fossils fuels lakini sio China, Urusi, India, US au Uarabuni wanaojali hayo mambo. Hawawajibiki wala hawataki hata kufidia gharama wanaothirika na huo mtindo wao maisha. US Trump anawaimbisha Wamarekani "drill baby, drill baby"!
Paris Accord walikutana na kujaribu kuwa na compromise, na ndio maana mpaka sasa kuna vitu kama Carbon Credit ambavyo kampuni zinazochafua zinaweza kununua credit kutoka kwa sisi tusiochafua mazingira kama wao; Pia kampuni zinakuwa waoga zikionekana zinaharibu mazingira unakosa wateja..., ila ni Trump huyu huyu katika term yake ya kwanza alijitoa katika Paris Accord; Obama aliweza kuwashawishi Iran ili waachane na mambo ya Nuclear (sababu aliamini they are people of their word) sasa kilichotokea baada ya hapo kila mtu anajua...

Kwahio my point being kama watu watafahamu kwamba viongozi wa nchi ni wa kuaminika na mikataba ikiwa signed inaheshimika kama Dunia tunaweza kufika mbali pamoja
Suala la Sovereignty; Uvamizi wa Russia kwa Ukraine na Georgia
This is arguably kwamba ni uvamizi sababu hata humu ndani watu wanatafsiri tofauti.., Je unaona ni Sawa Nato iliyoundwa ili kumkabili Russia na Russia kusign mkataba na Ukraine kwamba hawatajiunga Nato leo hii kutaka kujiunga NATO ni sawa na Russia hana hoja yoyote ? (like I say this is another argument ila bado watu wanaweza kukaa mezani) na wangekaa mezani na akapatikana mkorofosi basi ambaye angekwenda kutoa hukumu sio Russia wala Ukraine bali United Nations
Suala la Haki za watu na uhuru wao; Serikali za Mataifa kama Russia, China, Uarabuni na mengi ya Africa wanawaburuza tu raia wao wanavyopenda kama properties zao binafsi watu wa West wakisema hivyo sia sawa unakuwa ugomvi.
Nchi nyingi sana kuna minority wanabanwa ila hilo sio suala la Mataifa pekee bali hata watu wa ndani kuanza kudeal nayo internally na yakivuka mipaka kama mauaji ya Kimbari kama Rwanda au kule Bosnia lazima dunia tuingilie kati...
 
How did Trump incite the rioters?

Give me quotes, please.

View: https://youtu.be/HCZlPLIhTzM?si=EQH2V7c8lJQ6ryRY

And how does political correctness figure into this? I’m confused 🤣.

Au ulimaanisha/ ulitaka kusema kitu kingine?
political correctness (PC), term used to refer to language that seems intended to give the least amount of offense, especially when describing groups identified by external markers such as race, gender, culture, or sexual orientation. The concept has been discussed, disputed, criticized, and satirized by commentators from across the political spectrum. The term has often been used derisively to ridicule the notion that altering language usage can change the public’s perceptions and beliefs as well as influence outcomes.

Democrats wamekuwa na dos and dont's which are rubbing people the wrong way, kila kitu ukifanya unaonekana kwamba wewe ni racist au anti immigration; As Obama said once Democrats can be a Buzz Kill

View: https://youtu.be/RtamzCWTrsU?si=ubN2omfctmyhxkvy
 
Inahuzunisha sana asee. Kama Karamagi na Ngeleja wamesaini mikataba wakiwa na taulo kiunoni hotelini. Mke wa Ngeleja alitaka kutorosha masanduku ya hela za kibongo na dollars uwanja wa ndege Dar kupeleka KCB Nairobi lakini wanausalama wakamzuia kujua ni mke wa waziri wakamshauri azipitishe kwa barabara Namanga.

Acheni tu Trump aendelee navituko.
Kwamba Vituko vya Trump vitapunguza Vioja vya Ngeleja ? Au Trump angekuwepo enzi hizo Ngeleja angasaini mikataba huku kavaa pajama ?
 
Kwani sasa hivi nchi hazikubaliani?

Mbona kuna mikataba mingi sana ya kimataifa ambayo nchi nyingi zinakubaliana?

Unaposema kukubaliana unamaanisha nini? Unamaanisha kukubakiana 100% kwenye kila kitu? Hiki mbona hata kwenye familia halitokei.

Nimekuuliza swali hili, hujalijibu.
Hazikubaliani mikataba mingi tu maadhimio yanashindwa kufikiwa na kila mwanachama mengine yanatupwa jalalani.
 
Ndiyo, sababu zipo kadhaa. Mara nyingi huwa hakuna sababu moja.

Wapo watu wengi tu ambao hiyo lawfare iliwa turn off.

Angalia exit polls. Threat to democracy nayo ilikuwa moja ya concern kubwa ya wapiga kura.

And guess what…..katika idadi kubwa ya hao watu ambao concern yao kubwa ilikuwa demokrasia, wengi wao walimpigia kura Trump.

Hivyo kuna segment kubwa ya electorate iliyowaona Democrats kuwa ndo walikuwa a threat to democracy.

Kitendo tu cha democrats kutaka kuliengua jina la Trump kwenye karatasi la kupigia kura, antidemocratic.
Huko Murica kuna raia wengi wamekuwa wajinga sana ndio maana wanafikiria ni threat to democracy mtu akishitakiwa kwa kusababisha vurugu kwenye bunge la nchi kutokana na kutoridhika na matokeo ya uchaguzi ambao taasisi zote hadi zile anazozisimamia zimesema umeenda vizuri. America ilitakiwa wafanye kwa Trump kama walivyofanya Brazili kwa Jair Bolsonaro.

Wapiga kura saa nyingine huwa wanakuwa na ujinga wa kudumu tu, mfano mwingine ni hao waarabu waliompigia kura Trump wakiamini atamaliza vizuri vita vya Gaza kuliko Kamala.
 
Hazikubaliani mikataba mingi tu maadhimio yanashindwa kufikiwa na kila mwanachama mengine yanatupwa jalalani.
Kutokukubaliana does not mean ni kuacha kuongea bali ni negotiating and compromising tatizo ni kwamba sasa hivi kuna wachache wenye VETO ndio maana hata UN Afrika walikuwa wanalalamika kwamba angalau as a unit na wao wawe na VETO ila ndio hivyo hata wakipata VETO UN imekuwa haina Meno kwa muda mrefu sana.., not what the people whom started it envisioned it would be.., huenda mpaka tutakapotiana bakora na kuona madhara ndio akili itaturudi....
 
Back
Top Bottom