Trump amechelewa Karne Kadhaa; Waliposhindwa kina Great Britain, waliofuata Walitumia Soft Imperialism: Simba mwenda Pole ndio mla Nyama

Trump amechelewa Karne Kadhaa; Waliposhindwa kina Great Britain, waliofuata Walitumia Soft Imperialism: Simba mwenda Pole ndio mla Nyama

mkuu mwambie mkeo miezi mitatu sio mingi ...mtapata jawabu arudi au ndo kwaheri(vifurushi vilindwe wakirudi)
 
Kuna mambo mengi uliyoyaandika hapa ambayo sio sahihi.

1. Trump haelewi anachokifanya kwa taifa lake, Trump pamoja na kuwa populist lakini sio populist smart katika strategy na kufikiria mipango ya muda mrefu.Ni populist mjinga mjinga.

2. Uingereza haikugundua ni gharama kuendesha makoloni au kuwashinikiza watu bali matatizo ya uchumi ya baada ya vita vya pili vya dunia iliifanya Uingereza kutokuwa na namna au uwezo wa kuendelea kuendesha makoloni tena. Hawakuachia Makoloni eti ili kutulaghai tupeleke wenyewe mali zetu kwao, huo haukuwa mpango.

3. Umoja wa mataifa wenye nguvu hauwezekani ukiwa na nchi kama Marekani, Russia, China na India zenye population kubwa na chumi ambazo zinatagemea zaidi parasitic relationships pamoja na kujitazama wao wenywe ndani tu maslahi yao.
Trump kichaa!!!
 
Kama mmoja wa Taifa na Bara ambalo limekuwa marginalized kwa kutumia mabavu hapo kabla na mpaka sasa hivi kwa hila / ujanja na ulafi wa viongozi wetu ninafurahia kinachotokea....

Nina uhakika hata Trump anachofanya anaelewa detriment kwa taifa lake in long term ila hajali (ni populist na mpenda sifa) lakini hizi story za mabavu na kutishia watu kila siku, haziwezi kufanya kazi katika karne ya 21; (Na hata Great Britain aliyeweza kipingi kile aligundua kwamba ni gharama kuendesha makoloni au kuwashinikiza watu wakati unaweza kuwalaghai wakakuletea wenyewe mali zao)

Hata wanaomkubalia Trump wameshagundua anapenda sifa hivyo ni kama mtoto unampa Toy acheze nalo ili asikupigie kelele na wewe uendelee na hamsini zako...

Anyway ni wakati wa Afrika kuelewa kwamba future yao inategemea nguvu zao wenyewe bila kutegemea yoyote na when push comes to shove kila mtu ana look for number one...

Ingawa as a Globalist ninasikitika sana, kinachoendelea kinaonyesha kwamba kazi nzuri yoyote inaweza kuvunjwa kwa muda mfupi; Tupiganie Umoja wa Mataifa wenye Nguvu na sio Umoja wa Mataifa ambao ni Nyenzo ya Wachache....
Trump kichaa!!!
 
Tunaongelea kukubaliana.

Kukubaliana ni nini?

Tukikubaliana tufanye biashara kimkataba halafu tusikubaliane kiwango cha kodi hapo tumekubaliana au hatujakubaliana?
Tukikubaliana tufanye biashara kimkataba
 
Yes, it matters.
Kwa swali langu does it matter Imperialism au niseme neocolonialism kwa wengine kama inatumika kwa kutumia Hongo au mtutu wa bunduki; kwa jibu lako Yes it matters umevindicate my first point ya soft imperialism works na mabavu hayana maana sababu hata kwako umeonekana kuikubali the former.... Ingawa kwa kuongezea nyama let me clarify.

Ukizingatia nchi ni ya wananchi na ndio wanaoumia iwapo kuingiliwa kwao ni for their detriment (sababu inawezekana ikawa na faida kwao pia), hata kama ilitumika Hongo ile effect ya kuingiliwa bado itakuwepo..., ila kwa anayewaingilia effect ya kutumia mabavu ni short term sababu karne hii ya sasa hawawezi wakaikubali na wata react negatively, So instead of using guns, just use the McDonalds, the Levis Jeans, The Pepsi, The Cocacola au appearance ya being cool and just, itafanya hata watoto watawakubali hadi kuvaa nguo zenye bendera ya nchi yako badala ya yao....

Ndio maana hata kwa marais waliopita States walifahamu faida ya soft imperialism ndio maana mfano kitu kama USAID ingawa gharama ni less than 1 percent ya Bajeti yao ila kazi waliyokuwa wanafanya ya ku penetrate katika nchi zote duniani na kuwa na uwezo wa kuingiza their views au hata kuchangia katika policies zozote no matter how small was a bargain price, kwa a few dollars ambazo USA wametoa. Sasa huyu Trump kwa kukata kwake matumizi hata kwa vitu vya ndani ya USA (Cost cutting) ambalo ni jambo jema, lakini amesisitiza waongeze bajeti sababu amepunguza Kodi kwa matajiri na corporations... i.e. hata ndani ya nchi the people are still having a raw deal... Lakini ndio hivyo in truth he has never been for the people but his few cronies (the oligarchies)
 
Back
Top Bottom