Trump amechelewa Karne Kadhaa; Waliposhindwa kina Great Britain, waliofuata Walitumia Soft Imperialism: Simba mwenda Pole ndio mla Nyama

Trump amechelewa Karne Kadhaa; Waliposhindwa kina Great Britain, waliofuata Walitumia Soft Imperialism: Simba mwenda Pole ndio mla Nyama

Huko Murica kuna raia wengi wamekuwa wajinga sana ndio maana wanafikiria ni threat to democracy mtu akishitakiwa kwa kusababisha vurugu kwenye bunge la nchi kutokana na kutoridhika na matokeo ya uchaguzi ambao taasisi zote hadi zile anazozisimamia zimesema umeenda vizuri. America ilitakiwa wafanye kwa Trump kama walivyofanya Brazili kwa Jair Bolsonaro.

Wapiga kura saa nyingine huwa wanakuwa na ujinga wa kudumu tu, mfano mwingine ni hao waarabu waliompigia kura Trump wakiamini atamaliza vizuri vita vya Gaza kuliko Kamala.
Mbona hata wewe ni zaidi ya mjinga 🤣.
 
This is arguably kwamba ni uvamizi sababu hata humu ndani watu wanatafsiri tofauti.., Je unaona ni Sawa Nato iliyoundwa ili kumkabili Russia na Russia kusign mkataba na Ukraine kwamba hawatajiunga Nato leo hii kutaka kujiunga NATO ni sawa na Russia hana hoja yoyote ? (like I say this is another argument ila bado watu wanaweza kukaa mezani) na wangekaa mezani na akapatikana mkorofosi basi ambaye angekwenda kutoa hukumu sio Russia wala Ukraine bali United Nations
NATO ilianzishwa kwa madhumini gani?
Kwa nini Ukraine imekuwa ikitamani kujiunga na NATO?
Kwa nini Finland na Sweden zimejiunga na NATO na kuachana na policy yao ya muda mrefu neutrality?
 
How did Trump incite the rioters?

Give me quotes, please.
You don't even need a quote, Trump amewasamehe wahalifu WOTE wa January 6 waliohusika kuvamia bunge lao na kufanya uharibifu wa kila aina hadi kunya kwenye meza za wabunge.
 
You don't even need a quote, Trump amewasamehe wahalifu WOTE wa January 6 waliohusika kuvamia bunge lao na kufanya uharibifu wa kila aina hadi kunya kwenye meza za wabunge.
Nimependa nukuu ya Kiranga, The guy is an overprevileged imbecile.
 
NATO ilianzishwa kwa madhumini gani?
The North Atlantic Treaty Organization (NATO NAY-toh; French: Organisation du traité de l'Atlantique nord, OTAN), also called the North Atlantic Alliance, is an intergovernmental transnational military alliance of 32 member states—30 European and 2 North American. Established in the aftermath of World War II, the organization implements the North Atlantic Treaty, signed in Washington, D.C., on 4 April 1949. NATO is a collective security system: its independent member states agree to defend each other against attacks by third parties. During the Cold War, NATO operated as a check on the threat posed by the Soviet Union. The alliance remained in place after the dissolution of the Soviet Union and the Warsaw Pact, and has been involved in military operations in the Balkans, the Middle East, South Asia, and Africa. The organization's motto isanimus in consulendo liber(Latin for 'a mind unfettered in deliberation'). The organization's strategic concepts include deterrence.
Kwa nini Ukraine imekuwa ikitamani kujiunga na NATO?
The same NATO ambayo defacto reasons of being ni pamoja na kuhimili Russia ? Hivi unajua The Cuba Missile Crisis ilivyotokea na kwanini ilitokea, huoni effect au Hoja ya Russia kutokuwa na adui mlangoni kwake ?
Kwa nini Finland na Sweden zimejiunga na NATO na kuachana na policy yao ya muda mrefu neutrality?
Sasa mkuu unataka niwapangie ? Kama Russia haoni threat kwake kwa wao kujiunga na sidhani kama Finland na Sweden has ever been a part of Soviet Union

As I reiterate to my point before...., Russia anachokifanya anaweza akaja na Hoja mezani ambazo zikawa na mashiko, na sisi kama dunia inabidi ndio hapo tuangalie na kuhakikisha hakuna kuoneana.., Binafsi nachoona kinafaa ni Ulaya kama Ulaya waungane na sio baadhi kutumika kama Puppets wa USA under NATO to fight their own (they should clean their own mess) ikishindika United Nations yenye Meno ndio iingilie Kati....
 
Kama umeishiwa hoja tulia tu nyani, mada inaelimisha usitake kumtoa mtu kwenye hoja.
Sijakuandikia wewe lakini umejipa jukumu la kunijibu! Umeshindwa kutulia na kupita kimya?

Unawashwa kwani? Nikikukuna usilie.

I got hoja for days. What do you know about, bitch made?
 
Hazikubaliani mikataba mingi tu maadhimio yanashindwa kufikiwa na kila mwanachama mengine yanatupwa jalalani.
Hujajibu swali langu.

Kwani kukubaliana ni mpaka zikubaliane 100% kwenye kila kitu?
 
Kwani hukubaliana kwa asilimia ngapi ?
Watu wasipokubaliana 100% kwenye kila kitu hawawezi kuwa wamekubaliana kwa asilimia kadhaa kwenye baadhi ya mambo na hizo asilimia kadhaa zikatosha kuleta maendeleo fulani ya pamoja?

Kwa nini mnataka kukubaliana lazima kuwe ni kukubaliana kwa 100% kwenye kila kitu?
 
Watu wasipokubaliana 100% kwenye kila kitu hawawezi kuwa wamekubaliana kwa asilimia kadhaa kwenye baadhi ya mambo na hizo asilimia kadhaa zikatosha kuleta maendeleo fulani ya pamoja?

Kwa nini mnataka kukubaliana lazima kuwe ni kukubaliana kwa 100% kwenye kila kitkituh
Hivyo hawakubaliani ?
 
Sijakuandikia wewe lakini umejipa jukumu la kunijibu! Umeshindwa kutulia na kupita kimya?

Unawashwa kwani? Nikikukuna usilie.

I got hoja for days. What do you know about, bitch made?
Hili ndiyo lengo lako Nyani, kutoa watu kwenye mada ili mhamie kwenye matusi, ambako ndipo unapopamudu vizuri.

Huwezi kutetea upuuzi wa Trump kwa kuwa uwezo wa kujenga hoja huna, labda uanzishe ligi ya matusi tu.
 
Hivyo hawakubaliani ?
Kukubaliana ni nini?

Tukikubaliana kimkataba tufanye biashara halafu tusikubaliane kiwango cha kodi hapo tumekubaliana au hatujakubaliana?
 
Kukubaliana ni nini?

Tukikubaliana tufanye biashara halafu tusikubaliane kiwango cha kodi hapo tumekubaliana au hatujakubaliana?
Kwani tunazungumzia nini hapa ?
 
Hili ndiyo lengo lako Nyani, kutoa watu kwenye mada ili mhamie kwenye matusi, ambako ndipo unapopamudu vizuri.

Huwezi kutetea upuuzi wa Trump kwa kuwa uwezo wa kujenga hoja huna, labda uanzishe ligi ya matusi tu.
Upuuzi gani wa Trump?
 
Kwani tunazungumzia nini hapa ?
Tunaongelea kukubaliana.

Kukubaliana ni nini?

Tukikubaliana tufanye biashara kimkataba halafu tusikubaliane kiwango cha kodi hapo tumekubaliana au hatujakubaliana?
 
Back
Top Bottom