Trump amechelewa Karne Kadhaa; Waliposhindwa kina Great Britain, waliofuata Walitumia Soft Imperialism: Simba mwenda Pole ndio mla Nyama

mkuu mwambie mkeo miezi mitatu sio mingi ...mtapata jawabu arudi au ndo kwaheri(vifurushi vilindwe wakirudi)
 
Trump kichaa!!!
 
Trump kichaa!!!
 
Tunaongelea kukubaliana.

Kukubaliana ni nini?

Tukikubaliana tufanye biashara kimkataba halafu tusikubaliane kiwango cha kodi hapo tumekubaliana au hatujakubaliana?
Tukikubaliana tufanye biashara kimkataba
 
Yes, it matters.
Kwa swali langu does it matter Imperialism au niseme neocolonialism kwa wengine kama inatumika kwa kutumia Hongo au mtutu wa bunduki; kwa jibu lako Yes it matters umevindicate my first point ya soft imperialism works na mabavu hayana maana sababu hata kwako umeonekana kuikubali the former.... Ingawa kwa kuongezea nyama let me clarify.

Ukizingatia nchi ni ya wananchi na ndio wanaoumia iwapo kuingiliwa kwao ni for their detriment (sababu inawezekana ikawa na faida kwao pia), hata kama ilitumika Hongo ile effect ya kuingiliwa bado itakuwepo..., ila kwa anayewaingilia effect ya kutumia mabavu ni short term sababu karne hii ya sasa hawawezi wakaikubali na wata react negatively, So instead of using guns, just use the McDonalds, the Levis Jeans, The Pepsi, The Cocacola au appearance ya being cool and just, itafanya hata watoto watawakubali hadi kuvaa nguo zenye bendera ya nchi yako badala ya yao....

Ndio maana hata kwa marais waliopita States walifahamu faida ya soft imperialism ndio maana mfano kitu kama USAID ingawa gharama ni less than 1 percent ya Bajeti yao ila kazi waliyokuwa wanafanya ya ku penetrate katika nchi zote duniani na kuwa na uwezo wa kuingiza their views au hata kuchangia katika policies zozote no matter how small was a bargain price, kwa a few dollars ambazo USA wametoa. Sasa huyu Trump kwa kukata kwake matumizi hata kwa vitu vya ndani ya USA (Cost cutting) ambalo ni jambo jema, lakini amesisitiza waongeze bajeti sababu amepunguza Kodi kwa matajiri na corporations... i.e. hata ndani ya nchi the people are still having a raw deal... Lakini ndio hivyo in truth he has never been for the people but his few cronies (the oligarchies)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…