Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany
Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta tukaendelea kumpigia magoti
Sio kweli kwamba Waafrika ni dhaifu kiasi hiki au hatuwezi kumpangia masharti
Tunaweza sana kumpangia masharti na akashindwa kabisa kuyafuata kama anavyotufanyia
Tukikubali kuendeshwa namna hii kila siku ni sawa na kuolewa naye
Ifike mahali tuseme sisi ni Wanaume usitupangie masharti kama unavyompangia mke wako
Kwanza kabisa Marekani inazalisha bidhaa kupitia malighafi nyingi sana zinazotoka Afrika
Japan China na Germany ni mataifa yenye uwezo wa kuzalisha bidhaa zote anazozalisha Marekani
Afrika tunauwezo wa kisitisha mikataba yote kwa muda tuliyofanya na Marekani tukaipitia upya kama alivyofanya yeye na tukaamua kuacha kumpa Marekani Malighafi zetu tukampa Japan, China au Germany na maisha yakaendelea kama kawaida
Marekani asitutishie nyau na wala asituuzie woga sisi sio dhaifu kiasi hicho anachoamini yeye
Mtu yuko huko bara la Ulaya alafu anatuendesha kama wajinga flani hivi tunashindwa hata kurudisha mapigo
Mtu mmoja aendeshe watu 8B anavyotaka yeye alafu tukae kimya kwani lazima tumtegemee??
Kuna Taifa la Germany, Japan, China hawa wote wanazalisha bidhaa yeye ni nani
Ifike mahali Afrika tumpe Marekani sharti la kuacha kutuingilia kana kwamba hatuna elimu au viongozi sisi sio wajinga tunauwezo wa kupata tunachotaka kutoka mataifa mengine sio lazima kwake mshamba flan hivi
Yaani anatupangia masharti kama anavyompangia mke wake sisi tunacheka naye au tumekubali kupandwa vichwa???