Hawa viongozi ambao wana report ulaya? Hawa wanao pewa maelekezo na London, Paris or Washington?
Ngoja nikukumbushe ili uone jinsi gani pendekezo lako haliwezi kufanyiwa kazi. Bukinafaso, Mali na Niger ni one of the French speaking countries. Hizo nchi pamoja na Cameroon, Togo, Congo, Burundi nk zinanyonywa na Ufaransa hadi leo, wanatakiwa kuilipa Ufaransa kiasi kikubwa kila mwaka, hadi viwanda vya just biscuits tu (hasa kule West Africa ) hawatakiwi kua navyo, wanatakiwa kuagiza from Paris, hizo nchi nyingi hata hawanaga Central banks zao, haya Niger, Bukina na Mali wamepindua uongozi uliokuwepo ili waachane na Ufaransa, walau vijipesa vidogo wavielekeze kwa wananchi wao, guess what? ECOWAS ikiongozwa na Nigeria ya ustaadhi Inugu ikapewa maelekezo ya kuzivamia hivo nchi. Enugu na Ecowas wanakua kama Ufaransa azionea sana hizo nchi, lakini walikubaliana na France. Kiburi cha kina Sankara the second kikabadiri mitazamo. Hivi viongozi kama hao kina Enugu wanajua why wapo madarakani? Wanawaza wizi tu