Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
- Thread starter
- #81
Ingekuwa hivyo Marekani asingeleta kwato huku mara kwa maraTrump lini kawatukana? Mambo mengi mnayosema Trump kasema hajawahi kusema.
Malighafi gani ambayo ipo Africa tu haiwezi kupatikana sehemu zingine na US anahitaji? Africa ukitoa cheap labor hakuna kingine cha maana mlichonacho. Natural resources zipo dunian nzima, Brazil, Indonessia, Russia, Canada, China na USA yenyewe wana natural resources nyingi zaidi kuliko the whole of Africa combined. Nyie endeleeni kulishana matango pori kwamba nyie ndo matajiri sana.
Wanachofuata humu ni nini wanajifanya wanatalii kumbe njaa zinawaleta