Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo maeneo ya goma hapa, nyie mko wapi?Mbona tumeingia wengi nyie ndo hamuonekani
Hebu tuachie vituko we jamaa...Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany
Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta tukaendelea kumpigia magoti
Sio kweli kwamba Waafrika ni dhaifu kiasi hiki au hatuwezi kumpangia masharti
Tunaweza sana kumpangia masharti na akashindwa kabisa kuyafuata kama anavyotufanyia
Tukikubali kuendeshwa namna hii kila siku ni sawa na kuolewa naye
Ifike mahali tuseme sisi ni Wanaume usitupangie masharti kama unavyompangia mke wako
Kwanza kabisa Marekani inazalisha bidhaa kupitia malighafi nyingi sana zinazotoka Afrika
Japan China na Germany ni mataifa yenye uwezo wa kuzalisha bidhaa zote anazozalisha Marekani
Afrika tunauwezo wa kisitisha mikataba yote kwa muda tuliyofanya na Marekani tukaipitia upya kama alivyofanya yeye na tukaamua kuacha kumpa Marekani Malighafi zetu tukampa Japan, China au Germany na maisha yakaendelea kama kawaida
Marekani asitutishie nyau na wala asituuzie woga sisi sio dhaifu kiasi hicho anachoamini yeye
Mtu yuko huko bara la Ulaya alafu anatuendesha kama wajinga flani hivi tunashindwa hata kurudisha mapigo
Mtu mmoja aendeshe watu 8B anavyotaka yeye alafu tukae kimya kwani lazima tumtegemee??
Kuna Taifa la Germany, Japan, China hawa wote wanazalisha bidhaa yeye ni nani
Ifike mahali Afrika tumpe Marekani sharti la kuacha kutuingilia kana kwamba hatuna elimu au viongozi sisi sio wajinga tunauwezo wa kupata tunachotaka kutoka mataifa mengine sio lazima kwake mshamba flan hivi
Yaani anatupangia masharti kama anavyompangia mke wake sisi tunacheka naye au tumekubali kuolewa???
Nini wewe unaweza fanya Mkuu??Mtu mmoja anatuendesha tena mshamba flan hivi tunacheka nae
Hajatuonea sisi ndo wenye matatizo , tunaakili za kushikiwa yaani Kuna mlevi mmoja wakizungu akaropoka hao watu weusi wana akili za kwendee uani tu, hivi ni kweli au tunasingiziwa.Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany
Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta tukaendelea kumpigia magoti
Sio kweli kwamba Waafrika ni dhaifu kiasi hiki au hatuwezi kumpangia masharti
Tunaweza sana kumpangia masharti na akashindwa kabisa kuyafuata kama anavyotufanyia
Tukikubali kuendeshwa namna hii kila siku ni sawa na kuolewa naye
Ifike mahali tuseme sisi ni Wanaume usitupangie masharti kama unavyompangia mke wako
Kwanza kabisa Marekani inazalisha bidhaa kupitia malighafi nyingi sana zinazotoka Afrika
Japan China na Germany ni mataifa yenye uwezo wa kuzalisha bidhaa zote anazozalisha Marekani
Afrika tunauwezo wa kisitisha mikataba yote kwa muda tuliyofanya na Marekani tukaipitia upya kama alivyofanya yeye na tukaamua kuacha kumpa Marekani Malighafi zetu tukampa Japan, China au Germany na maisha yakaendelea kama kawaida
Marekani asitutishie nyau na wala asituuzie woga sisi sio dhaifu kiasi hicho anachoamini yeye
Mtu yuko huko bara la Ulaya alafu anatuendesha kama wajinga flani hivi tunashindwa hata kurudisha mapigo
Mtu mmoja aendeshe watu 8B anavyotaka yeye alafu tukae kimya kwani lazima tumtegemee??
Kuna Taifa la Germany, Japan, China hawa wote wanazalisha bidhaa yeye ni nani
Ifike mahali Afrika tumpe Marekani sharti la kuacha kutuingilia kana kwamba hatuna elimu au viongozi sisi sio wajinga tunauwezo wa kupata tunachotaka kutoka mataifa mengine sio lazima kwake mshamba flan hivi
Yaani anatupangia masharti kama anavyompangia mke wake sisi tunacheka naye au tumekubali kupandwa vichwa???
dochiveleBila shaka nawe pia ni msikiliza wa "Dochivele", huwa mnaionya sana Serikali ya Marekani.
Kama serikali zenu za kifisadi mnashindwa kuzisimamia mtaweza kumuwekea masharti Marekani?
Sawa lkn rudishi neti ya USAIDS tuone kama asubuhi hupandishi joto la malaria 😂😂US mchumba tu yule
Jamaa anapambana na idara ya ulinzi, anasafisha hataki kuona kunguni.Bambiro hapa
Kuna uwezekano akageukwa muda si mrefu, kwa sababu kuna watu wanaenda kuwa majobless na ukichangia na upinzani alionao, ndio inakuwa changamoto zaidi.Trump atageukwa na Wamarekani wenzake wengi wameshakasika walianza kufyeka sikio moja kifuatacho wanaondoka nae mzima
Ndani ya chama chake kuna watu wengi maslahi yao yameshaguswa chama pinzani ndio usisema yule wanamlia timingKuna uwezekano akageukwa muda si mrefu, kwa sababu kuna watu wanaenda kuwa majobless na ukichangia na upinzani alionao, ndio inakuwa changamoto zaidi.
Akiiwekea vikwazo africa, waafrika mtakufa kama kumbikumbi.Mtu yuko bara la Ulaya alafu anatuendesha kama wajinga flani hivi tunashindwa hata kurudisha mapigo
Mtu mmoja aendeshe watu 8B anavyotaka heye alafu tukae kimya kwani lazima tumtegemee??
Kuna Taifa la Germany, Japan, China hawa wote wanazalisha bidhaa yeye ni nani