Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tuna uwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany

Hebu tuachie vituko we jamaa...
 
Hajatuonea sisi ndo wenye matatizo , tunaakili za kushikiwa yaani Kuna mlevi mmoja wakizungu akaropoka hao watu weusi wana akili za kwendee uani tu, hivi ni kweli au tunasingiziwa.
 
Mzee malighafi hazizalishwi Africa pekee nenda brazili huko Kuna watu Wana Lima kama hawana akili zuri na wote soko lao ni hko Ulaya kwenye viwanda vingi.
 
Sijasoma ulichoandika ila naamini umeandika ufalaπŸ˜‚πŸ˜‚

USA ikikukalia kooni ulipe madeni yake utakunya mavi mabichi
 
Sijasoma ulichoandika ila naamini umeandika ufalaπŸ˜‚πŸ˜‚

USA ikikukalia kooni ulipe madeni yake utakunya mavi mabichi
US mchumba tu yule
 
Bila shaka nawe pia ni msikiliza wa "Dochivele", huwa mnaionya sana Serikali ya Marekani.

Kama serikali zenu za kifisadi mnashindwa kuzisimamia mtaweza kumuwekea masharti Marekani?
dochivele
 
Jamaa anapambana na idara ya ulinzi, anasafisha hataki kuona kunguni.
Trump atageukwa na Wamarekani wenzake wengi wameshakasika walianza kufyeka sikio moja kifuatacho wanaondoka nae mzima
 
Trump atageukwa na Wamarekani wenzake wengi wameshakasika walianza kufyeka sikio moja kifuatacho wanaondoka nae mzima
Kuna uwezekano akageukwa muda si mrefu, kwa sababu kuna watu wanaenda kuwa majobless na ukichangia na upinzani alionao, ndio inakuwa changamoto zaidi.
 
Kuna uwezekano akageukwa muda si mrefu, kwa sababu kuna watu wanaenda kuwa majobless na ukichangia na upinzani alionao, ndio inakuwa changamoto zaidi.
Ndani ya chama chake kuna watu wengi maslahi yao yameshaguswa chama pinzani ndio usisema yule wanamlia timing
 
Akiiwekea vikwazo africa, waafrika mtakufa kama kumbikumbi.
 
Trump lini kawatukana? Mambo mengi mnayosema Trump kasema hajawahi kusema.

Malighafi gani ambayo ipo Africa tu haiwezi kupatikana sehemu zingine na US anahitaji? Africa ukitoa cheap labor hakuna kingine cha maana mlichonacho. Natural resources zipo dunian nzima, Brazil, Indonessia, Russia, Canada, China na USA yenyewe wana natural resources nyingi zaidi kuliko the whole of Africa combined. Nyie endeleeni kulishana matango pori kwamba nyie ndo matajiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…