Ingekuwa hivyo Marekani asingeleta kwato huku mara kwa maraTrump lini kawatukana? Mambo mengi mnayosema Trump kasema hajawahi kusema.
Malighafi gani ambayo ipo Africa tu haiwezi kupatikana sehemu zingine na US anahitaji? Africa ukitoa cheap labor hakuna kingine cha maana mlichonacho. Natural resources zipo dunian nzima, Brazil, Indonessia, Russia, Canada, China na USA yenyewe wana natural resources nyingi zaidi kuliko the whole of Africa combined. Nyie endeleeni kulishana matango pori kwamba nyie ndo matajiri sana.
Ingekuwa hivyo Marekani asingleta kwato huku mara kwa mara
Wanachofuata humu ni nini wanajifanya wanatalii kumbe njaa zinawaleta
Umekaririshwa π€Hahahahaha US inachukue mali ghafi gani huko? Na mkimnyima kuna wangapi wanampatia tena zenye kiwangu cha juu kabisa! Dunia nzima inapambana kupata soko la Marekani
Hebu lete data mwaka jana au juzi mmeexport kiasi gani kwenda kwa Trump
Weka data acha ukasuku kijanaUmekaririshwa π€
alietuhumu ni wewe. It is solely your obligation and responsibilete to do so.Weka data acha ukasuku kijana
πHahahha
Ila waafrika mna vituko sanaa
Ata trump huwa akiona nyuzi zenu anacheka sanaaaπππ