Trump amesema uongo na kudanganya kwa Hamas kama mtoto ili kumpata mateka wake,Alexander

Waislamu kiukweli shida wanazozipata ni kutokana na kutotekeleza maamrisha ya uadilifu yaliyomo ndani ya Quran.
Suala la kutowafanya maadui wa Allah marafiki limerudiwa mara nyingi sana.Hilo ndilo linalofanywa na wafalme wote wa nchi za kiarabu halafu wanajidai wanatumia diplomasia.
Israel na Marekani ni mataifa dhaifu sana iwapo waislamu watafuata maagizo waliyopewa.Na hata sasa Israel haiwezi tena kupigana na mataifa yote ya mashariki ya kati iwapo hakuna watawala vibaraka wanaowakandamiza raia zao.
Wewe unaumia bure tu na mwisho utapata stroke bure, waarabu waliishakubali ule msemo usemao kwamba if you can't defeat them join them kwa sababu wanajua fika kwamba muziki wa Israel hawauwezi.
 
Kwa uwezo wa Allah nina matumaini makubwa ya kuishi na kushuhudia ushindi wa Hamas wakisaidiana na Houth ambao hauko mbali sana.
 
Waislamu kiukweli shida wanazozipata ni kutokana na kutotekeleza maamrisha ya uadilifu yaliyomo ndani ya Quran.
Suala la kutowafanya maadui wa Allah marafiki limerudiwa mara nyingi sana.Hilo ndilo linalofanywa na wafalme wote wa nchi za kiarabu halafu wanajidai wanatumia diplomasia.
Israel na Marekani ni mataifa dhaifu sana iwapo waislamu watafuata maagizo waliyopewa.Na hata sasa Israel haiwezi tena kupigana na mataifa yote ya mashariki ya kati iwapo hakuna watawala vibaraka wanaowakandamiza raia zao.
Wewe ni mmojawapo wa wanafiki katika dunia hii. Maana hapo ulipo 90% unatumia vitu ambavyo vimetengenezwa na watu wasioamini katika Uislam.
Nchi zote za Kiislam zilizoendelea kwa asilimia kubwa equipment zake zimetoka kwa hao mnaowaita makafiri.
Angalia mindege ya Qatar, fly Emirates,Etihad n.k zote hizi zimetoka kwa makafiri. Cha ajabu hata wewe ukisadiri unapanda mindege iliyotengenezwa na makafiri. Nyie extremists mna shida sana. Ndio maana Saudi Arabia anashirikigi kuwaminya kila mnapochipukia. Maana Mnajifanya mnaijua dini kuliko ilipoasisiwa.
 
Waislamu wala hawachukii wakristo mpaka pale wakristo wanapokosea katika kuishi vizuri na waislamu.
Na kama unavyosema wataendelea kuwepo ispokuwa watapungua sana.
Wakristo hawawezi kupungua. Achana na hao maustadhi feki wanaokudanganya.
 
Hamas wajinga tu wacha wapigwe tu

Hawa Hamasni waongo na ni wajinga kweli kweli.

Mwanzoni walisema muwa wana.wachilia huyo mateka in good gesture, na hakuna conditions zozote, leo wamegeuka!! Good gesture huwa haina conditions.
 
Wewe ni mmojawapo wa wanafiki katika dunia hii. Maana hapo ulipo 90% unatumia vitu ambavyo vimetengenezwa na watu wasioamini katika Uislam.
Nchi zote za Kiislam zilizoendelea kwa asilimia kubwa equipment zake zimetoka kwa hao mnaowaita makafiri.
Angalia mindege ya Qatar, fly Emirates,Etihad n.k zote hizi zimetoka kwa makafiri. Cha ajabu hata wewe ukisadiri unapanda mindege iliyotengenezwa na makafiri. Nyie extremists mna shida sana. Ndio maana Saudi Arabia anashirikigi kuwaminya kila mnapochipukia. Maana Mnajifanya mnaijua dini kuliko ilipoasisiwa.
Mimi nikipanda ndege huwa namdhukuru Allah mwanzo mpaka mwisho na sina fikra kwamba hiyo ndege imetengenezwa na makafiri.Najua imetengenezwa na inatembea kwa uwezo na maelekezo ya Allah.
Huwa anawaongoza watu wote wanaofanya jambo litakalo onyesha uwezo wake na kuwafaa watu wamjue na ili wamwabudu peke yake.Watu wanafanya kinyume cha hivyo kwa neema zake na yeye anazidi kuwapa muda na kuwavumilia huenda wakajitambua.
 
Kwa nini huyo allah hawapi uwezo nyie waislam mgundue na kutengeneza vitu advanced kama hao makafiri?!.
Na unavyosema kwenye quran imekatazwa kushirikiana na makafiri, huoni kutumia ama kununua vitu vilivyotengenezwa na makafiri ni sawa na kushirikiana nae?!.
Nyie wahafidhina wa bongo wapuuzi tu. Napenda Sana Muslims wa nchi kama Uturuki, Morocco na Tunisia. Jamaa tunapiga nao hata tungi. Hawana complication kama nyie wamatumbi. Mnaona hii dunia ndio mnastahili kuwepo tu.
Nachompendea Mwenyezi Mungu hana ubaguzi kwa watu aliyewaumba kama nyie extremist.
 
Yanayoendelea Gaza yanazidi kuutambulsho udhaifu wa Marekani na Israel mbele ya Hamas,na kwamba si watu wa kufanya nao mkataba wowote ule wa kuaminika kwa kauli zao.
Kiongozi mkubwa wa Hamas amesema walifanya mazungumzo ya moja kwa moja na mwakilishi wa Trump,aitwaye Steve Witkoff ili kumwachia mateka huyo mwenye uraia wa Marekani.
Katika mazungumzo hayo raisi Trump aliahidi kwamba siku mbili baada ya kuachiwa kwa Alexander angetoa tamko la kuishukuru Hamas na kuilazimisha Israel kufungua mpaka ili misaada ya chakula iingie Gaza.Pamoja na tangazo hilo raisi Trump angeilazimisha Israel kusitisha vita moja kwa moja.
Basem analalamika kuwa alichokifanya Trump si kwenda kinyume na makubaliano tu bali ameyatupilia mbali makubaliano na kuyatia jalalani.
Siku moja baada ya kuachiwa Alexander Israel ilipiga kwa nguvu sana hospitali na kuua zaidi ya watu mia na siku tatu baadae imeanzisha operesheni kubwa ya kijeshi inayosema ni ya kuikalia Gaza moja kwa moja.Hayo yote yanafanyika baada ya Alexander kuachiwa huru na Marekani wala haijalaani au kukemea.

Trump envoy personally promised to lift Gaza blockade in exchange for US-Israeli captive, Hamas official says​

Basem Naim has told Drop Site, a US news outlet, that the Palestinian group received a direct commitment from Steve Witkoff that the Trump administration would compel Israel to lift the blockade on Gaza two days after the release of US-Israeli citizen Edan Alexander.
Naim, who is a member of Hamas’s political bureau, said that Witkoff also promised that Trump would make a public call for an immediate ceasefire in Gaza and for negotiations aimed at achieving a “permanent ceasefire”.
Naim said the agreement was: “If we release [Alexander], Trump will speak out thanking Hamas for its gesture, obliging Israel on the second day to open the borders and allow aid to come into Gaza, and [Trump would] call for an immediate ceasefire and to go for negotiations to end the war.”
“He did nothing of this,” the official added. “They didn’t violate the deal. They threw it in the trash.”
There was no immediate comment from the White House.
Alexander, who is a US citizen and an Israeli soldier, was released on Monday.
Since then, Israel has intensified its air raids on Gaza, killing more than 300 Palestinians since Thursday. It has launched a new ground offensive, dubbed Gideon’s Chariots, aimed at seizing and controlling the Strip.aljazeera

Mzee una uchungu na waarabu kuliko waarabu wenyewe, unakusanya thawabu za kutosha hope firdaus utapata bikra za ziada!
 
Allah atakabalie dua yako.
 
Trump wakati akitafuta kiti alisema Vita ya Ukraine na Russia anaimaliza ndani ya masaa 24.

One phone call to Putin...Vita imeisha.

Ni kama dunia imesahau kabisa.
Hivi unaimalizaje vita ya Gaza kwa makubaliano wakati hamas bado wapo na wana silaha. Kwa akili zile za hamas unaanzaje kulitoa jeshi la Israel Gaza nakuacha hamas wajikusanye tena?
 
Yanayoendelea Gaza yanazidi kuutambulsho udhaifu wa Marekani na Israel mbele ya Hamas,na kwamba si watu wa kufanya nao mkataba wowote ule wa kuaminika kwa kauli zao.
Kiongozi mkubwa wa Hamas amesema walifanya mazungumzo ya moja kwa moja na mwakilishi wa Trump,aitwaye Steve Witkoff ili kumwachia mateka huyo mwenye uraia wa Marekani.
Katika mazungumzo hayo raisi Trump aliahidi kwamba siku mbili baada ya kuachiwa kwa Alexander angetoa tamko la kuishukuru Hamas na kuilazimisha Israel kufungua mpaka ili misaada ya chakula iingie Gaza.Pamoja na tangazo hilo raisi Trump angeilazimisha Israel kusitisha vita moja kwa moja.
Basem analalamika kuwa alichokifanya Trump si kwenda kinyume na makubaliano tu bali ameyatupilia mbali makubaliano na kuyatia jalalani.
Siku moja baada ya kuachiwa Alexander Israel ilipiga kwa nguvu sana hospitali na kuua zaidi ya watu mia na siku tatu baadae imeanzisha operesheni kubwa ya kijeshi inayosema ni ya kuikalia Gaza moja kwa moja.Hayo yote yanafanyika baada ya Alexander kuachiwa huru na Marekani wala haijalaani au kukemea.

Trump envoy personally promised to lift Gaza blockade in exchange for US-Israeli captive, Hamas official says​

Basem Naim has told Drop Site, a US news outlet, that the Palestinian group received a direct commitment from Steve Witkoff that the Trump administration would compel Israel to lift the blockade on Gaza two days after the release of US-Israeli citizen Edan Alexander.
Naim, who is a member of Hamas’s political bureau, said that Witkoff also promised that Trump would make a public call for an immediate ceasefire in Gaza and for negotiations aimed at achieving a “permanent ceasefire”.
Naim said the agreement was: “If we release [Alexander], Trump will speak out thanking Hamas for its gesture, obliging Israel on the second day to open the borders and allow aid to come into Gaza, and [Trump would] call for an immediate ceasefire and to go for negotiations to end the war.”
“He did nothing of this,” the official added. “They didn’t violate the deal. They threw it in the trash.”
There was no immediate comment from the White House.
Alexander, who is a US citizen and an Israeli soldier, was released on Monday.
Since then, Israel has intensified its air raids on Gaza, killing more than 300 Palestinians since Thursday. It has launched a new ground offensive, dubbed Gideon’s Chariots, aimed at seizing and controlling the Strip.aljazeera

View: https://youtu.be/pTkwSwkNhhA?si=NPqYjy-v9vEzfAaM
 
Back
Top Bottom