Trump ameshajiondoa kufadhili miradi ya afya kabla ya siku 90? Je, ameona siku 90 ni mbali?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu mwanzo ilisemwa kuna siku 90 za US kuangalia haya mambo ya ufadhili ndo waamue, lakini tokea jana zimeanza kuzunguka statement kama hiyo hapo chini kwenye mitandao.

Kunani huko anayejua kinachoendelea?

Screenshot_20250228-113511_Chrome.jpg
 
Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
First. Ni kuzuia matumizi ya Dola
Second. Ni kuondoa biashara ama ushirikiano wa kibiashara na serikali ya Trump.
Third. Kutafuta jumuiya ya ushirikiano kwenye masuala ya afya kwa nchi za Afrika, ulaya na Asia pekee.
Fourth. Afrika ijiimarishe kibiashara na china, ulaya na nchi za Asia ya kati kati Singapore na Malaysia pamoja na Korea ya kusini na japani.
 
Sisi tumelala sana,uwezo wa vikwazo kwa marekani hatunao na kujaribi kufanya hivyo ndio mwanzo wa kuanza kujifukulia makaburi yetu mapema kabla hatujafa.Ila hili ni kumbusho kwa waafrika na watawala waafrika.Hapa ni kila mmoja atimize wajibu wake kikamilifu hata hiyo misaada tusinge hitaji. Tukiambiana tunaenda kwenye uchaguzi tufanye kweli uchaguzi na sii maigizo.Tukiambiana tukachague tukachague kweli viongozi na sii tuuze kura zetu.Hapo utajiri wa Afrika utaonekana.
 
Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
First. Ni kuzuia matumizi ya Dola
Second. Ni kuondoa biashara ama ushirikiano wa kibiashara na serikali ya Trump.
Third. Kutafuta jumuiya ya ushirikiano kwenye masuala ya afya kwa nchi za Afrika, ulaya na Asia pekee.
Fourth. Afrika ijiimarishe kibiashara na china, ulaya na nchi za Asia ya kati kati Singapore na Malaysia pamoja na Korea ya kusini na japani.
Easier said than done!
Kwa sasa huwezi kuitenga USA, ndio maana hata Putin anarudisha uhusiano wake rasmi na the world's giant, ndio maana EU inaufyata kwa kila anachosema USA, ndio maana BRICS inakosa nguvu kudominate, ndio maana ni ngumu currency zingine kuwa na nguvu, hapo mwanzo walidhani Euro ingekuwa dominant, waaaapi...

Kuwa world's strongest nation inachukua mda mrefu na nguvu kubwa sana.
 
Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
First. Ni kuzuia matumizi ya Dola
Second. Ni kuondoa biashara ama ushirikiano wa kibiashara na serikali ya Trump.
Third. Kutafuta jumuiya ya ushirikiano kwenye masuala ya afya kwa nchi za Afrika, ulaya na Asia pekee.
Fourth. Afrika ijiimarishe kibiashara na china, ulaya na nchi za Asia ya kati kati Singapore na Malaysia pamoja na Korea ya kusini na japani.
Hao wachina na warusii wanajua tu kukunyonya!! Bora hao wamarekan walikua wanakumbuka watoto wako, sio hao wachina na waasia😞😞😞
 
Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
First. Ni kuzuia matumizi ya Dola
Second. Ni kuondoa biashara ama ushirikiano wa kibiashara na serikali ya Trump.
Third. Kutafuta jumuiya ya ushirikiano kwenye masuala ya afya kwa nchi za Afrika, ulaya na Asia pekee.
Fourth. Afrika ijiimarishe kibiashara na china, ulaya na nchi za Asia ya kati kati Singapore na Malaysia pamoja na Korea ya kusini na japani.
Hatuwezi kususa kwa vile tumenyimwa vya bure.

Tufungue macho tuwe na mahusiano ya win win situation, kuwa tegemezi wa kudumu ni kudumaza akili za wananchi
 
Kwa sasa huwezi kuitenga USA, ndio maana hata Putin anarudisha uhusiano wake rasmi na the world's giant
Mkuu kati ya Trump na Putin nani alianza kumpigia simu mwenzake kutaka mazungumzo ya kusitisha vita?
 
Ukweli ni kwamba hata Marekani ijitoe U.N hakuna kitu kitasimama duniani. Bajeti ya U.N haichangiwi na Marekani peke yake
 
Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
First. Ni kuzuia matumizi ya Dola
Second. Ni kuondoa biashara ama ushirikiano wa kibiashara na serikali ya Trump.
Third. Kutafuta jumuiya ya ushirikiano kwenye masuala ya afya kwa nchi za Afrika, ulaya na Asia pekee.
Fourth. Afrika ijiimarishe kibiashara na china, ulaya na nchi za Asia ya kati kati Singapore na Malaysia pamoja na Korea ya kusini na japani.
Yaani africa ijiimarishe kibiashara kwa kurafuta mkoloni mwingine?

Hamuwez mkajitegemea africa yote mkawa wamoja?
Why always ni kutafuta another boss to serve?
 
Ila anachangia asilimia kubwa, Anachangia 22% UN regular budget na 25% peacekeeping budget
Kwa hiyo ukitoa hiyo 22% ikabaki 78% nini kitashindikana kuendesha U.N?

Ukitoa hiyo 25% ikabaki 75% kwenye peacekeeping itashindikana?

Inawezekana mataifa mengine yakaongeza bajeti kufidia.

Au mashirika ya U.N na missions zake kupunguza matumizi mambo yakaenda kama kawaida

Back
Top Bottom