Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwanini usiseme Mama Anaweza kuchangia hata 1% kwenye Peace Keeping? Badala ya kukazia bakuli kwa Nchi za Ulaya?Kwa hiyo ukitoa hiyo 22% ikabaki 78% nini kitashindikana kuendesha U.N?
Ukitoa hiyo 25% ikabaki 75% kwenye peacekeeping itashindikana?
Inawezekana mataifa mengine yakaongeza bajeti kufidia.
Au mashirika ya U.N na missions zake kupunguza matumizi mambo yakaenda kama kawaida