Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Yeah, Marekani ikijitoa hakuna kinashindikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka unaona 25% ndogo???
Yani chukulia leo hii waondoe asilimia 25% ya mshahara wako, yani usilipwe mshahara miezi mitatu kwa mwaka, wangapi watasurvive?
Ni Trump alianza, na ilikuwa kwenye plans zake hata kabla hajawa raisi, na sababu kubwa ni uhusiano binafsi kati yake na Putin.
Russia-Ukraine conflict hata Putin mwenyewe ameichoka, alipambana vita ambayo nadhani hakujua kwamba mwisho wa siku atakuwa yeye against EU, US, NATO, JAPAN, CANADA nk.
Hahahaha 🤣🤣😂😂Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
First. Ni kuzuia matumizi ya Dola
Second. Ni kuondoa biashara ama ushirikiano wa kibiashara na serikali ya Trump.
Third. Kutafuta jumuiya ya ushirikiano kwenye masuala ya afya kwa nchi za Afrika, ulaya na Asia pekee.
Fourth. Afrika ijiimarishe kibiashara na china, ulaya na nchi za Asia ya kati kati Singapore na Malaysia pamoja na Korea ya kusini na japani.
La saba hatujui mawazo yenuHahahaha 🤣🤣😂😂
Haya kama ndiyo mawazo ya masomi itakuaje Kwa Sisi darasa la 7?
move ipi kiongoziLet's wait for the next move...