Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Sisi tumelala sana,uwezo wa vikwazo kwa marekani hatunao na kujaribi kufanya hivyo ndio mwanzo wa kuanza kujifukulia makaburi yetu mapema kabla hatujafa.Ila hili ni kumbusho kwa waafrika na watawala waafrika.Hapa ni kila mmoja atimize wajibu wake kikamilifu hata hiyo misaada tusinge hitaji. Tukiambiana tunaenda kwenye uchaguzi tufanye kweli uchaguzi na sii maigizo.Tukiambiana tukachague tukachague kweli viongozi na sii tuuze kura zetu.Hapo utajiri wa Afrika utaonekana.Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
First. Ni kuzuia matumizi ya Dola
Second. Ni kuondoa biashara ama ushirikiano wa kibiashara na serikali ya Trump.
Third. Kutafuta jumuiya ya ushirikiano kwenye masuala ya afya kwa nchi za Afrika, ulaya na Asia pekee.
Fourth. Afrika ijiimarishe kibiashara na china, ulaya na nchi za Asia ya kati kati Singapore na Malaysia pamoja na Korea ya kusini na japani.
Easier said than done!Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
First. Ni kuzuia matumizi ya Dola
Second. Ni kuondoa biashara ama ushirikiano wa kibiashara na serikali ya Trump.
Third. Kutafuta jumuiya ya ushirikiano kwenye masuala ya afya kwa nchi za Afrika, ulaya na Asia pekee.
Fourth. Afrika ijiimarishe kibiashara na china, ulaya na nchi za Asia ya kati kati Singapore na Malaysia pamoja na Korea ya kusini na japani.
Hao wachina na warusii wanajua tu kukunyonya!! Bora hao wamarekan walikua wanakumbuka watoto wako, sio hao wachina na waasia😞😞😞Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
First. Ni kuzuia matumizi ya Dola
Second. Ni kuondoa biashara ama ushirikiano wa kibiashara na serikali ya Trump.
Third. Kutafuta jumuiya ya ushirikiano kwenye masuala ya afya kwa nchi za Afrika, ulaya na Asia pekee.
Fourth. Afrika ijiimarishe kibiashara na china, ulaya na nchi za Asia ya kati kati Singapore na Malaysia pamoja na Korea ya kusini na japani.
SI kweli wote sio salama.Hao wachina na warusii wanajua tu kukunyonya!! Bora hao wamarekan walikua wanakumbuka watoto wako, sio hao wachina na waasia😞😞😞
Hatuwezi kususa kwa vile tumenyimwa vya bure.Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
First. Ni kuzuia matumizi ya Dola
Second. Ni kuondoa biashara ama ushirikiano wa kibiashara na serikali ya Trump.
Third. Kutafuta jumuiya ya ushirikiano kwenye masuala ya afya kwa nchi za Afrika, ulaya na Asia pekee.
Fourth. Afrika ijiimarishe kibiashara na china, ulaya na nchi za Asia ya kati kati Singapore na Malaysia pamoja na Korea ya kusini na japani.
Na tunazidi kuwa wavivu,wazembe na hata tunajiibia wenyewe.Marekani ametubeba sana, acha wajitoe ili nasi tupate akili
Kwa sasa huwezi kuitenga USA, ndio maana hata Putin anarudisha uhusiano wake rasmi na the world's giant
Yaani africa ijiimarishe kibiashara kwa kurafuta mkoloni mwingine?Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
First. Ni kuzuia matumizi ya Dola
Second. Ni kuondoa biashara ama ushirikiano wa kibiashara na serikali ya Trump.
Third. Kutafuta jumuiya ya ushirikiano kwenye masuala ya afya kwa nchi za Afrika, ulaya na Asia pekee.
Fourth. Afrika ijiimarishe kibiashara na china, ulaya na nchi za Asia ya kati kati Singapore na Malaysia pamoja na Korea ya kusini na japani.
Ila anachangia asilimia kubwa, Anachangia 22% UN regular budget na 25% peacekeeping budgetUkweli ni kwamba hata Marekani ijitoe U.N hakuna kitu kitasimama duniani. Bajeti ya U.N haichangiwi na Marekani peke yake
Ila anachangia asilimia kubwa, Anachangia 22% UN regular budget na 25% peacekeeping budget
HIV italaza watu Machanga zaidi ya CovidWakuu mwanzo ilisemwa kuna siku 90 za US kuangalia haya mambo ya ufadhili ndo waamue, lakini tokea jana zimeanza kuzunguka statement kama hiyo hapo chini kwenye mitandao.
Kunani huko anayejua kinachoendelea?
View attachment 3252841